Ni Laptop aina ya DELL Latitude D630
ipo katika hali nzuri kabisa
Specifications :
Procesor = 2.20GHz
Ram = 2GB
HDD = 232 GB
Bei 290,000
Nipo Dar es salaam ( Mikocheni )...
Kama unahitaji kupata logo ya kampuni,banner,t-shirt logo (kuprint t-shirt),kadi za harusi,kitchen party na send off, CD covers,fliers,brochures,posters,kuprint leso za sherehe mbalimbali...
Nyumba inauzwa iko Magomeni Mapipa, mtaa wa Kionga street.Nyumba hiyo ina hati.
Ipo karibu na bondeni hotel.
Bei yake ni sh milion mia tatu na themanini.
NAUZA PAJERO MINI
Salaam wanaJF,
Miezi michache iliyopita nilitangaza kuuza gari apa jf, wengi waliniPM ila ni kuwa ombi la wengi lilikuwa ni bei kuwa ipungue kidogo. Nilitangaza iyo bei ikiwa...
Gezaulole ipo 15 km kutoka ferry. Sasa hivi kuna mradi wa upimaji wa viwanja unaosimamiwa na Manispaa ya Temeke. Vocha zilizopo ni Za viwanja;
1. Square meter 1000 bei Tsh 5mil kulipia manispaa...
Habari za mid a hii wanna if. Husika na kichwa cha habari apo juu Nina mlion 7 naitaji gari mojawapo kati ya hizi . Toyota brevis; alteza ama ipsum ziwe katika hali nzuri na I we imeanzia 2003...
Kama una tatizo katika mashine za canon digital photocopy swahiba stationery ndio jibu lako.pia tunauza drum, film na spea mbalimbali za photocopy kwa bei nzuri sana. Mfano, drum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.