Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Brand: HP,processor 2.4ghz Intel duo core, RAM:2GB,HDD: 500GB,OS: Win 7 Pro. Monitor: 18.5" Flat screen.Condition:Bra d New. Price:TZS 590,000/-
0 Reactions
0 Replies
705 Views
HP pro desktop nauza tshs.450,000/= ina hdd 500GB,ram 4gb nakupa complete set kwa mawasiliano whatsapp through 0716385824
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wadau naomba mnijuze mambo ya muhimu ya kuzingatia ikiwemo licence, TRA na majina inakuaje kwa used Collola hapa bongo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maelewano yapo piga simu 0766315158 kwa mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Samsung galaxy s3 mini CLONE....STILL NEW....Price:170,000/= Kwa anaeitaka call 0689341445
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow wana Jf! Leo nina Dell Inspiron 1545 Model PP41L Intel Core 2 Duo 2.1ghz 320gb hdd 2gb ram DvD rw wifi Bluetooth windows 8 pro 15'6 screen Black cover 3hrs batteries imetumika 6month Haina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauza kwale kila mmoja sh 15000 na mayai yapo trei 25000 . Tafadhari tuwasiliane kwa wanaotaka kufuga au kutotolesha au lishe au dawa. 0712878737
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba3 chumba1 ni self contained,sebule,dinning,choo na jiko. Parking kubwa, nyumba ipo mita5 kutoka bagamoyo road. Bei laki4/mwezi Call 0752953860
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki 575,000. Kwa anayetaka...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wadau Ninatoa huduma za UCHAPISHAJI (PRINTING) wa documents mbalimbali kama vile:- INVOICE BOOK, PROFORMA BOOK, RECEIPT, CASH SALE BOOKS, ANNUAL REPORT, MAGAZINES, BANNERS, STICKERS...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Za asubuhi! Nahitaji kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba, kiwe jirani na ufukwe, eneo tarajiwa ni popote kigamboni! Taja bei yako na nipe na contacts zako fasta!
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Gari aina ya nissan patrol diesel engine inauzwa. Ina engine cc 4139.Gari iko bomba na iko barabarani. Bei ni milioni 19 maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga 0763969066
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Toyota Altezza,black used toka Japan inauzwa mili 12.5 kwa mawasiliano zaidi nicheck pm155840
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Mzigo wenu mwingine uliokuwa unasubiliwa unaingia jumatano tarehe saba,fika ofisi kwetu magomeni lango la jiji,samsung galaxy s4 nyeupe na nyeusi (with high resolution),4.2 jelly bean,16gb mpya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tablet aina ya swag large size 102 inauzwa kwa bei poa kabisa Tshs 450000 Haina tatizo lolote hadi screen protective cover yake ipo, that's why imebakiwa nayo Guarantee yake,kwa mwenye nia naomba...
0 Reactions
4 Replies
837 Views
mahitaji ya kupanga nyumba ina vyumba vitatu , jiko, choo 2, store bei tshs: 100,000/= kwa mwezi. Kulipa ni mwaka1 au miezi sita. Nyumba ipo barabara kuu iendayo kigamboni kutokea kongowe. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Viko amani gomvu...karibu na changani beach.viko upande wa bahari...bahari unaiona ., sea breeze unaipata sawa sawa...kutoka kigamboni mpaka hapo kwa gari ni dakika 25....sqmt 1 ni sh 15000 cash...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom