Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari JF..kiwanja kinauzwa kiko kibaha kongowe kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 bei kuanzia million 5.Karibu kwa maelewano.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
habari kuna nokia lumia hapa mpya inauzwa..laki 3
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu bidhaa tajwa hapo juu (Savin 7025 copy machine) Inahitajika at affordable reliable and fairly price with high/normal quality, Nipo Mwanza Tanzania, Kwa aliyenayo, au anayejua zinakopatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila Square mita 1 ni Tsh 8000/=, Gharama hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
​Mafunzo ya Information and Communication Technology yanatolewa kwa bei nafuu kwa waajiri na waajiriwa wawapo katika maeneo yao ya kazi ( On Job Training). Utangulizi: Ewe mwajiri muweke...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
kwa mahitaji ya compter hadwere and maintainance, domain hosting and registration , website design and development , graphics design and data recovery for more info visit http://www.codesoft.co/
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Habari wapendwa! Polen na pirika za hapa na pale. Napenda kujulishwa ni sehem gan ambayo maalum wanauza vyombo vya luminac ambao ni mawakala. Au km kuna contact plz nijulishwe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
zipo mbili zina miezi miwili tu tangu zitoke uk, kiujumla bado muonekano mpa kabisa, serious buyers please nitumie text
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Habar zenu wanajf, mm ni fundi simu, nihtaji sehem ya kufanyia kazi zangu iwe yenye mzunguko wa watu weng kiwe kibanda au nafac ndogo,maana kulipia fremu sehem kama hizo huwa ni bei ghar sana na...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Changamkia sasa kwani wakati ndio huu. Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
ni huawei Ideos x3 full boxed mpya kabisa ni android phone whatsap na applications nyinginezo zinakubali pia ina front camera. Bei ni Laki na kumi(110k) nicheki kwenye 0688206680 tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huawei.. Y 300 ina 3 week...!! Haina tatizo.. Bei 150,000... Blackberry curve 2 zipo mbili... Bei bei yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ina usajili wa BTV, Engine capacity yake ni 150cc, imetengenezwa nchini China na kuingia nchini 2011. Ipo kwenye hali nzuri, na ina uwezo mzuri00,000/= (laki tisa tu NB. nimeshindwa ku_up load...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu niwaombe tu mtu anapoweka thread yake ya kuuza kitu kama si mnunuzi au huna unachokifahamu juu ya bidhaa husika we pita tu kimyakimya. Nasema hili imekuwa toomuch sasa, mtu unaweka bidhaa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF, Ninauza vifaa mbalimbali vya salon ya kiume kama ifuatavyo: Vioo viwili vikubwa vya kisasa kwa Tsh 300000, Viti viwili imara sana Tsh 200000, mashine tatu nzuri za kunyolea kwa Tsh...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
http://-----------------/?ref192436
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Zipo mbili till na second simu mbili (management). Nipo dar anayehitaji anicheki PM tufanye biashara,bei laki mbili kwa kila till na second simu yake.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Aina ni Hp pavilion g6 Specifications 1.RAM 6GB 2.HDD 700 GB 3.Intel core i3 4.Bluetooth....YES 5.Wireless ......YES 6.Condition ....Good 7.Camera...Yes PRICE....Tsh 520,000 Top...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Gari aina ya Toyota Carina Ti inauzwa. Ina engine cc 1500 with reg. No T 698 CLG Gari iko bomba na iko barabarani. Bei ni milioni 9.5 maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga 0757468020
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Gari aina ya canter inauzwa #Gari haina tatizo lolote #namba "c" #imetembea Km chache kama 125604 #Ipo Dar ,call: 0752953860 #Bei milioni16
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom