mzigo mpya wa vifaa vya simu 1.Usb Cables Kwa ajili ya simu Urefu wa hadi mita tatu Iphone 4, iphone 5 na zile za samsung pamoja na simu nyingine Price 15000 2. Power bank 2800 MAH kwa 25000 na...
Vimepimwa kienyeji kwa ukubwa wa 20 x 18 mitas,barabara ya chanika - mvuti,vinatazama lami(sio kwenye hifadhi ya barabara),vya mbele kabisa ni sh 4.5m,nyuma yake ni 3.5m na mwisho ni sh...
Hi colleagues,
Ninauza nyumba ya dada yangu, ipo Old Nguvumali Tanga, ina Offer.3 bedrooms i.e. 2 bedrooms na 1 Master bedroom, sitting room and dinning room. Its about 3/4 of an acre. For more...
Green Vision is offering security products for your premises ranging from electric fence, sensors, CCTV, Auto Gate, electric beam and many more at a good cost price and installation is done any...
Hujakosea kusoma title ni kweli naflash simu yoyote duniani as long as ni original na ni sm-enabled. Naflash kwa bei rahisi sana kiasi kwamba huwez amini, mfano any iphone flashing and...
Salam wana jamii
Ninauza kiwanja chenye hati, ukubwa wake ni 520 square meter, bei ni Tsh 12mil.
Kipo mtwara mjini, eneo la mangamba njia ya kwenda airport zilipojengwa nyumba 50 za PSPF...
Habari za zenu wana jf.
Binafsi mimi nipo jijini Mwanza na nina shida sana na salon ya kiume kama yupo yeyote mwenye salon hiyo ama ana chumba cha kupangisha kisichozidi 50,000 kwa mwezi na mwenye...
Tuna viwanja vidogovidogo vinaangalia lami maeneo ya Chanika barabara ya kuelekea Mvuti,ni Mita 20x18(<>),bei kuanzia Millioni 2.5/3.5/4.5 (Havijapimwa bado)
Mawasiliano...
mashine yangu hyo chaji yake imeharibika na nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka nimekosa so kwa yeyote anayeuza au anayeweza kunisaidia kupata hyo chaji tuwasiliane kwenye 0688 206680 ahsanteni.
ni galaxy pocket ilio katika ubora wake..inaenda kwa 100000.
technical specification za galaxy pocket zipo wazi...ni used. ipo dar es salaam.
0755815174
Nahitaji kununua Canon EF lens used ziwe kwenye hali nzuri siku za usoni,hasa ningependa lens aina zifuatazo EF 180 mm f/3.5 L,EF 85mm f/1.2,EF16-35mm f/2.8LII USM,EF70-200mm f/2.8L IS II USM,kwa...
Nauza Nyumba yangu mwenyewe INA vyumba vitatu kimoja self finishing nimemakiza sebule tu na dinning iko mwanza machinjion being million 35 aliye tiyali nimeshaweka tiles sehemu baadhi
nyumba inauzwa ipo posta mwananyamala bei ni shilingi milioni mia tatu na hamsini. Ni nyumba kubwa Ina vyumba 13 na pia gari linafika kwa urahisi. Kwa mawasiliano. 0763 779 211 au 0712 83 52 64.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.