Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wakuu poleni na pilika pilika za za hapa na pale!! Wakuu naomba msaada ufuatao kutoka kwenu!! 1. Nahitaji kujua chuo mahiri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa dar es salaam!! 2. Gharama ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nyumba inapangishwa ipo Tabata segerea -Nyumba ina uzio na geti -ina kisima cha maji na tank la kuhifadhia maji -ina vyumba vitatu(master moja),sebure,dining,parking mbili,jiko,stoo,public...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nakaribisha wadau natafuta redio aina ya SONY DJ MIX 240W, iwe full function (remote control) isiyo na tatizo kama unayo waweza kuwasiliana na mimi KUPITIA PM au kunichek kupitia 0717693927 ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota Nadia iko sokoni,. ni ya mwaka 2000, na imeingia nchini 2010. imetembea km 143000 ambazo kati ya izo km 43000 ndo imetembea hapa nchini. rangi ya silver, 2000cc petrol high tec- D4...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nauza hii vitz bei mil 6.5 maelewano yapo, haina tatizo ni PM tufanye biashara
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji ipad ya bei nafuu kwa ajili ya kuweka michezo ya watoto. Mwenye nayo naomba awasiliane nami tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau nauza kuku wa mayai(layers) wapo 850..wanataga sasa mwezi wa 4.Nauza elf 8500 kwa kila mmoja.Hawana tatizo na unaweza kuja na wataalam kuwahakiki.Niko Morogoro.Karibuni sana na kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa jf kunakiwanja kinauzwa mbezi beach upande wa samaki kwa juu kidogo 35×25 kwa iliye serious 0714787795 pia pm namba yako kama utahitaji picha umeme na maji mpaka mlangoni mwenye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ofa ofa ofa kuna Iphone 4s inauzwa sh400000 sipunguzi hata mia labda kama una nokia E6 tutaongea.ina hali nzuri kabisa na kila ki2 chake kipo mie niko mwanza mjini na kwa mawasiliano zaidi nicheki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wasalaam nahitaji noah bajeti yangu mil 5 ila iwe kwenye hali nzuri
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa Jf viwanja bado ninavyo mbezi luis morogoro rd vipo vya mita 500 toka lami ukubwa 20/30 kuanzia sh. ml.10' 15 na kuendeale kulingana na mahitaji yako. Vingine ni km 2'4...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau km kuna dalali yyte anitaftie chumba yan bajet yangu elf 30 kiwe na umeme silngboad sio ishu sana ila bat lisiwe limetoboka maeneo ya kinondoni,mikocheni,hata kwa mtogole sio mbaya...tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mashine za kuchana na kuranda zote 2 Bei-Million 60 Tsh.Serious buy Contact me 0752307878.
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari, mie ni mfanyakazi wa private company, nataka kufungua akaunti ya dola CRDB. Naweza kujua ni masharti gani na viambatanisho vipi niwe navyo niweze kufungua akaunti hiyo bila zengwe. Kwa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nina mil 3.5 nahitahi Suzuki kei au Vitz nipo mwanza 0714620133
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam, Nina lori (semi-trailer) flatbed linaloweza kubeba mpaka tani 30-31, natafuta mtu/kampuni yeyote iliyotayari kushirikiana katika kusafirisha mizigo/containers kwenda sehemu mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unayoona hapa mwendo ni kikombe tu.
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Just a Quick Update, Msikose kuangalia TBC1 Leo (27/04/2014) Saa Tatu Kamili Usiku Ntakuwa naongea na Msimbe wa Amka Tubadilike Kuhusu Kilimo cha Greenhouse na Jinsi gani naweza kuwasaidia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu nauza hii vitz kwa mil 6.2, haina tatizo na bado iko vizur kila kitu. Mwenye kuitaji ani PM tafadhari
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HoneyWay International ni kampuni inayojihusisha na biashara ya kuagiza magari toka Japan na kuyauza kwa bei nafuu. Pia HoneyWay International ambayo inamilikiwa kwa asilimia 100 na Raia wa...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom