Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nauza layers wangu wanaotaga sasa kwa miezi 4..wapo 850 na nauza kwa 8000 kwa kila 1..Nabadili ufugaji kwende kwenye chotara na samaki.No yangu ni 0659300000 au ni PM kwa lolote.Thanks
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Nina mpango wa kufungua mahali pa kuuzia mafuta ya Taa hapa Kijijini kwetu, naombeni msaada wenu ni wapi naweza kupata mashine (pump) maana tank nimeshalipata. Mwenye mawazo jinsi ya kupata hizi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Registration CBP, ina Km 95,313. Rangi silver na iko katika hali nzuri sana haina tatizo lolote. Bei 9M negotiable. Serious buyers mniPM tuwasiliane.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa aliye na taarifa anisaidie natafuta nyumba ya kununua, iwe na hati, uwanja mpana at least square metre 1500. Tafadhali iwe mkoa wa DSM. Mwenye kufahamu ani-pm akiambatanisha bei na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unayo ni PM
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A & O level) Jiwezeshe katika somo kwa kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Register your Domain for free! - offer under a limited time. - covers only first year, TLD under 45,000 Tsh / 30 $ @ Year TLDs check them here. - domain must...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Kama hamjaona ili dili lichangamkieni Japanese Used Cars stock list | BE FORWARD
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Buy New and Used Cars in Kenya | Cars For Sale | Sell a Car for Free Angalia hii tovuti kama watafuta magari mapya ama yaliyotumika... Tunaeka magari kila siku na pia unaeza uza gari lako hapa...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Kwa wale watumiaji wa smartphone, ili kuepuka usumbufu wa kuishiwa na charge mara kwa mara power bank ndo mkombozi, ni kifaa kidogo unachoweza kutembea nacho huku kikichaji simu yako popote pale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Chalinze mjini tsh 4000sqm. Vipo karibu na huduma ya maji na umeme ukubwa ni sqm 400 hadi 1000: vipo vichache changamkia piga kwa maelekezo zaidi no. 0754395141...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu, nahitaji loan ya mill 1 Tshs nimepungukiwa katika kuanzisha biashara yangu.Niko Dar.Dhamana nilizonazo ni vitu kama friji, sofa etc. Uwezo wangu ni kurejesha kwa miezi 2 au 3 kwa riba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MOtel for sale in dar es salaam at kurasini area near diplomasia institute. for more info contact +255713547228
0 Reactions
2 Replies
1K Views
simu iwe smartphone za bei ya chini kama huawei, techno p5, htc n.k, iwe kwenye hali nzuri bei inaweza fika laki kulingana na ubora..mawasiliano 0754833473 TUMA SMS
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu ipo kwenye hali nzuri.. Imetumika miezi miwili.. Bei 600,000 Mwenye kuhitaji tuwasiliane 0717599884..
0 Reactions
1 Replies
996 Views
inahitajika laptop nzuri na inayokaa na chaji si chini ya saa 1:30. hard disc 320-500gb.ram 2-4gb. bei 250000/-. kama unayo nipm npo dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Dar-Kongowe, lilikuwa shamba kubwa vikamekatwakatwa viwanja vya kujenga. Bei ni maelewano. piga 0753820584. Karibu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari. Hii simu ninayoitumia ni NOKIA E72. Naiuza kwa shilingi 50,000. Ni housing tu tu ndo imechoka tena siyo sana. Kuchaji nachajiaga kwenye sehemu ya USB maana kwenye sehemu yake ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza ofisi ambayo ni sehemu ya fundi cm ipo maeneo mazuri kwa biashara nimeshindwa kutokana na kukosa fund cm mzuri na mwaminofu,call me0652740304 pia kuna cm kama htc8s,huwawei na sumsung glx s2
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nauza kuku wa mayai(layers) wanaotaga kwa mwezi wa 4 sasa. Ninao 850 na nauza kwa elf 8000 kila mmoja.Nauza kwasababu nabadili ufugaji kwenda kwenye chotara kwaajili ya kuuza vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Back
Top Bottom