Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nyumba inapangishwa arusha maeneo ya sekei. Ni self container yenye chumba kimoja na sebule na jiko, choo na bafu. Ni pembeni ya barabara kuna parking. Kwa mawasiliano zaidi piga namba. 0754 507014
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Natafuta gari ya kukodi hapa Arusha. Ni lazima iwe pick up,double cabin,4WD na iwe kwenye hali nzuri. Gari hii inahitajika kwa safari za nje ya arusha na wakati mwingine shughuli za ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dell OptiPlex 780, Ram 8gb, 500 gb Hard drive. Core 2 duo 2.8ghz DvD writer. Kioo inch "19" Yote complete ni 350,000. Piga simu hii 0713 884 130
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Ipo katika hali nzuri, no accident records, rangi nyeusi, mmliki moja tangia Imetoka Japan, bei 7.7 milion, anayhitaji Tuwasiliane 0754889999
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota OPA nzuri sana inauzwa! Year 2003 Engine cc 1800 Transmission: Auto Km 75000 BEI 9,999,000/= (maongezi yapo) Gari ipo Kilimanjaro(ms) simu:0754499022
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza camera aina ya GOPRO HERO 3 Ina wifi Ni waterproof Recommended sd memory gb 32/64 Ntaupload picha badae kidogo
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Kwa bei nafuu na inayoeleweka mi nipo chanika. Thanks.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza camera tajwa hapo juu Ina wifi Lens coverage nyuzi 180 Ni waterproof unapiga picha hata ukiwa deep sea Niko dsm Bei 350,000 Plz pm or contact 0758293598 if interested for more details...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Kwa wale walioko dar au hata wa mikoani km watakua interested, nauza iphone 4s imetumika few months kwa mwenye kuhitaji anichek kwa 0713 806 766. baadhi ya sifa zake; -nyeupe -16gb
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuwasiliane hapa 0715553166
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kina ukubwa wa ekari mbili na nusu, bei maelewano.Kwa mawasiliano piga no 0718 908594
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwa anayehitaji hii Simu. Simu inamuda wa wiki moja tu tangu niinunue Dukani laki mbili na 30. Naiuza kwa sababu huku kijijini haiplay yuotubu vizuri inagomagoma lakini mjini kwenye 3G there...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau! Nahitaji Kiwanja maeneo ya Tuangoma Kigamboni kwenye mradi wa viwanja,Kisipungue Square metre 800. Kiwe na Offer au Hati. Nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anayeuza jiko la gesi, saizi ya kati tuwasiliane. Nalihitaji.
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Nahitaji gas cooker lenye oven plates 4 bei laki 3.
0 Reactions
0 Replies
791 Views
NYUMBA YENYE KIWANJA CHENYE UPANA WA METER 26 NA UREFU METER 63 NA NUSU KINAUZWA. NYUMBA INA VYUMBA VYA KULALA 4, CHUMBA KIMOJA NI SELF CONTAIN, CHOO MBILI ZA NDANI, SEBURE KUBWA YENYE DAINING...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
M-POWER(off gridi) ni kampuni ya solar za kukodisha zinapatikana kwa gharama ya kufungiwa ni sh.10,000 kwa mtambo wa daraja la 1 na kwa sh.15,000 kwa mtambo wa daraja la 2 pia zina chaji simu na...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Kwa mahitaji yako ya madirisha,milango,na mengiyo yatokanayo na aluminium product tuone NDANDA ALUMINIUM AND GLASS WORK, tupo Toangoma kuelekea kigamboni 0719418051
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Nauza laptop Samsung mini: spcs; 250 GB, RAM 1 GB, 1.67 GHZ ina webcam betri ni masaa sita haina cd drive. Bei chee 220,000 Tshs
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Wandugu, kama kuna mtu anahitaji kiwanja, kipo Mbezi kwa Yusufu, eneo la Michungwani, kama dakika kumi kwa gari. Kama unahitaji au una jamaa anahitaji, basi piga 0787001207. Serious buyers tu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom