Husika na kichwa habari hapo juu,bei ya kitabu hiki ni elfu Sita ( 6,000/=) ila ukichukua zaidi ya vitano itapungua na kuwa elfu tano tu (5,000/=)Kwa kila kimoja
Haya kwa wale wawekezaji kamata eneo hapa kwa bei poa kabisa. Eneo lipo kimbiji karibu na kiwanda cha lake cement linafaa kwa makazi, kiwanda, soko la kisasa au shule. kuna ekari 25 bei ni milion...
JIPATIE KWA BEI NAFUU SAANA!!
Sasa unaweza kupata wateja wengi na kujulikana zaidi kupitia E-Commerce hii hapa http://mrinaupdates.com/ecommerce/index.php?route=common/home.
Weka bidhaa zako...
Kama kichwa cha habari ukionavyo na gari yenyewe kama picha zinavyojielezea juu ya gari husika, ukiafiki tafadhari ni PM tufanye biashara.
No LoNgo LoNgo
Asante nawakilisha
Nahitaj solar power yenye uwezo wa kuwasha taa1,radio,tv dvd player na kuchaj simu
Je, wataalamu wa haya mambo itanigharimu ela ngapi?mimi nipo kigoma-buhingwe
SUPER GRO
The wonder drop
" We help the farmers to have a better profit from the crop harvest and fish farming "
How to use Super Gro
How to Order Safely From Us
Contact Us...
Kiwanda cha tofali kinauzwa, ndani kina container 20ft, mshine 2 vibrated machine moja inapiga tofari za nch5 na nyingine nch6 na mashine 2 za kuchanganya mchanga. kuna umeme wa 3f bomba la maji...
Buy, Sell, Advertise.
Je!! Unatafuta nyumba inayouzwa au kupangishwa?
USIHANGAIKE, tembelea...
Property & Real Estate Tanzania
Mtandao wa Matangazo Tanzania
Classified adverts...
Rv 4 kil time inauzwa
Bei ya mwisho ni 15m
Engine ni 3s (ya japan)
Transmission-manual
Ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote
Pm kwa details zaidi
Wadau salaam..nauza mashime 2 za kuosha magari aina ya Kercher 130 mpya kabisa kwenye box na Hitachi vacuum cleaners 2 pia mpya vyote kwa 1.3m.Karibuni.K2a mawasiliano 0659300000
hii ni bidhaa mpya inayoitwa XTREME FUEL TREATMENT toka USA itumikayo kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama GARI,PIKIPIKI,GENERATOR,BOAT, TREN,MITAMBO YA MIGODINI N.K
hupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.