Wakuu kuna shamba linauzwa lipo bagamoyo njia ya kwenda msata. Ni km chache kutoka bagamoyo mjini. Eka moja 700,000/= zipo heka 150 mwenyekuhitaji tuwasiliane
Je una ndoto za kuanzisha kampuni, taasisi, vyama nk?
Tunatimiza ndoto yako.
Tunatengeneza katiba za kampuni, mashirika, NGO's, vyama vya michezo, siasa nk,
bei ni nafuu na rahisi...
je una eneo kubwa la shamba au hata eneo lolote ambalo halijapimwa lakini liwe kubwa, ili tulipime kitaalamu na kulichorea raman za viwanja (town planning drawing) ili iwe faida kwako baada ya...
Karibu Maisha Mikopo, ni mikopo midogo midogo kwa maendeleo yako. Dhamana ya mkopo inaweza kuwa Pikipiki, Gari, Bajaji, Kiwanja, Nyumba au Mali yoyote isiyohamishika.
Kopa na "MAISHA MIKOPO KWA...
Heshima kwenu brothers and sisters
Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub")
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja...
Wadau blackberry curve 9320 inauzwa kwa bei poa kabisa Tshs.150,000 tu maelewano pia yapo.Simu bado mpya na haina matatizo yoyote.kwa anayeihitaji awasiliane nami kwa namba hii 0712 799 747.kuiona...
Wakuu Tufanye biashara nahitaji samsung galax S4 niko na 500,000/= iwe katika hali nzuri..
Pia nahitaji External Hard disk 1tb kwa 100,000/= uwe kati ya arusha au moshi..... kama unayo kimoja...
Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
Gari safi kabisa la kisasa linauzwa, Lady driven, engine VVTI Beam 2000, CC 1980, KM 105,000.00 tu, linafanyiwa service ipasavyo na limekatiwa comprehensive January 2014, Lina tairi mpyaaa kabisa...
Nauza shamba tajwa hapo juu. Lipo mafinga kwenye kijiji cha kinyanambo. Lina ukubwa wa eka sita.
Miche ipo elfu sita yenye umri wa miaka miwili toka imepandwa.
Bei ni mil.24/-
Karibu kwa yule...
Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali
Do you need to have at least professional email accounts without / before website? You can skip the website cost and still STAYS professional.
If that was what trouble ring your minds then we...
Habari wadau,
Kuna Pick up single cabin inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri. Inauzwa na owner. ni white, imetembea apprx Km 100,000. ipo Dar, ni nzuri hata kwa biashara. AC yake inafanya kazi vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.