Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka...
TUNALETA MAGARI TOKA UK NYENYE HALI NZURI KABISA UNAWEZA KUWEKA ORDER YA GARI AMA MACHINE UHITAKAYO. wasiliana nasi kupitia email yetu/ husseinmasoli@gmail.com phone +255767115353/whatsup/viber...
Wandugu, nimependa muundo wa gari hii japo naona kama si nyingi Tz, walionazo au wanaozifahamu naomba kusikia ushauri wenu kabla sijaamua kununua.
Matumizi yake yatakuwa kwa ajili ya familia hasa...
Ntafuta chumba self maeneo ya survey karibia na mlimani city..naomba kujuzwa bei za chumba self kimoja maeneo hayo zikoje? Mwenye kujua unaweza kushare.
Plot for sale.Location is at Vianzi the way to Malale.its about 5kms from Kongowe.the plot is 40mtrs by 30mtrs. 4 .ml is a reasonable price.call 0713649555 or 0754804452.
Ndugu wadau wa JF nakusalimuni sana. Natoa asante kwa wale tulioshirikiana katika ujasiriamali wangu wa CCTV camera naamini wale waliofungiwa syatem hii hamkupata tabu yeyote au hitilafu yeyote...
Wakuu. Naomba kwa aliyepo mwanza au maeneo ya jirani na ana mojawapo ya simu za LG G2, HTC M8, HTC ONE, HTC BUTTERFLY AU HTC MAX tuwasiliane. Unaweza kunipm number yake na mimi nitakupigia
Mimi...
Kwa yeyote yule anayehitaji kumiliki website, kuna website inauzwa.
ukitaka kuiona fungua www.infomets.co.tz.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu no. 0762067696.
Kama unakiwanja chenye title deed maeneo ya gezaulole kilicho jirani na miundombinu ya umeme na maji tafadhali ni pm tufanye biashara.
Nikipata kuanzia sq. Metres 1000 nitafurahi. Bajeti yangu...
Habari za jioni WanaJf,
Nauzau TOYOTA TOWNACE kwa bei ya Sh 7.5 Million, unapata Gari na nyongeza ya Engine na Gear box bure kama Bonus kwa ajili ya spea pindi gari likipata matatizo.
Gari ni...
KIPO maeneo ya VIANZI Njia ya Malale kariu na Tank la maji.ni kam kilometatatu kutoka Kongowe. ukubwani ni hatua 40 kwa 30 (yaani ni 2 in one).bei ni nzuri ya kitanzania.mawasiliano ni 0713649555...
Wadau salaam.Nauza jenereta la Diesel,Hand starter,KV 5.Aina ya Acme ya Italy.Limetumika lakini liko poa kabisa.Bei ni 1.3m.Ni pm au nichek kwa 0659300000
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa...
Just arrived, Toyota Raum new Model 2004.1489cc in excellent condition with nice DVD player. Registered with all the papers. On sale.
Price 11.5M top top.
Contact
0713 332019
Brayanmagari@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.