natafuta Frem ya biashara maeneo
yafuatayo.
- tegeta
- Mwenge
Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu
za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa
kutosha kuvutia biashara.
Mwenye kuwa nayo au...
Eneo lenye ukubwa wa heka moja linauzwa KISERIAN-MOSHONO bei 45m. Ni eneo zuri sana.
Hapo kwenye picha ni hilo hapo lililolimwa lenye udongo mwekundu. Yeyote atakay
eitaji tuwasiliane pm.
Salaam.
Gari aina ya Alterzza model 2000, ikiwa imelipiwa ushuru wrote pamoja na namba za usajili inauzwa Tshs. 8.5Million. Imetembea km 70,600 tu. Ina screen tatu pamoja na key vibration security...
Habari zenu ndugu zangu naamini mu wazima wa Afya, Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu.
Tuna nyumba ambayo iko maeneo ya Ununio na inahitaji mpangaji, nyumba ina jumla ya vyumba vinne...
Nauza solar power
Ukubwa: watt 60,battery N 100,Controller na waya wenye urefu wa mita 10
Sababu ya kuuza:tumeunganishiwa umeme wa tanesco thus why nimeama kuiuza.
Bei: laki sita
Nipo chamazi...
Wanajamvi mimi ni mfanyakazi wa hospital ya serikali 'Dr '. Ninaenda shule hivyo kiuchumi sitaweza kumudu gharama.
Nina crester gx 100 namba B. Ipo katika hali nzuri sana ina mirage laki moja...
Wakuu, nawaletea hii makala iliyoandikwa na mwanachama wa CCM Tawi la Uingereza. Hizi ni salamu zake kabla ya mkutano mkuu ujao.
Matawi ya Nje: Hazina ya CCM
Uanachama wa CCM katika...
Habari wanjanvi wenzang,kwanz polen kwa mafuliko yaliyo tukumba ktk mikoa tofauti tofauti, nina iphone 4 imetumika week 3 tu nauza kwa bei ya 320000 bei haipungui,,sababu ya kuiuza nikua niliagiza...
tuna design majengo kwa viwango vyote.
yaani kulingana na uhitaji wa mteja, pia tunatoa ushauri utakao kusaidia wakati wa kujenga
tunapatikana kwa email address garchedwin@gmail.com ama tupo...
Shamba la miti ya mbao ekari 9.5 linauzwa mafinga ,Iringa miti hio imebakiwa na miaka miwili tu liwe tayari kwa kuvuna kwa kawaida eka moja hua linauzwa mill 14 lkn hili utafanyiwa 7mill kwa eka...
Shamba la ekari 9.5 lenye miti iliobakiza miaka miwili tayar kwa ajili ya kuvuna
Bei ambayo watu huuza ni mill 14 kwa heka lkn hili shamba linauzwa kwa mill 7 per heka wahi sasa kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.