Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
habari wakuu...nauza ream za double A A4,80 gsm....nauza shs 35,000......ninazo za kutosha hata ukitaka carton 1600 utapata.....carton inakaa ream 5..... kwa anayehitaji anipm order yake..nipo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sabalkheri Mabibi na Mabwana wa Jamiiforums. Nimekuwa msomaji wa tovuti hii kwa kiasi cha muda na sasa nimeonelea vyema kujiunga nanyi. Natafuta mganga mzuri wa jadi awezae kazi na sio mwenye...
1 Reactions
70 Replies
22K Views
Yoyote mwenye kuhitaji Nyumba ipo mbezi inn. Ina security, fence, maji, 2rooms, toitel, sitengroom, kitchen, Bei yake ni rahisi sanaaa kutokana na huduma husika. 150,000 kwa mwezi. Call 0779420000
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kiwanja kinahitajika eneo la kisasa Dodoma barabara kuu iendayo Dar es salaam. Mwenye nacho anijulishe.mimi ni mnunuzi
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Habari wanajamvi, Kwa wale wanaohitaji bidhaa za forever living please contact me 0718959442 Au pm. karibuni wote.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau kuna mtu anatafuta chumba maeneo ya makumbusho,victoria,kinondoni au mikocheni. Immediately(muda wowote kuanzia sasa),bajeti ni 80,000 hadi 120,000. Kiwe na choo ndani(self)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Make: Toyota Model: land cruser hard top Year: 2003 Maelezo ya ziada: Ilikuwa inafanya kazi benki ya crdb so baada ya kuinunua imepata no mpya za usajili ambayo ni crb Bei ni milion 47 maelewano yapo
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habari wana jukwaa, nina kagari nakauza Suzuki Omni rangi nyeupe ya 2010 ina km 52,000 engine iko safi na haichemshi. Bei 7m kama unahitaji nipm. Picha nitaweka bado cjajua jinsi ya kuziapload.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye hyo simu wakuu Tuwasiliane 0767879784
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa sft4600 kinauzwa Tabata segerea. kiwanja kina hati na kipo karibu na barabara .Asking price millioni 130. Contact me: 0752953860
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu ambayo ni orijino {nyeusi}, inauzwa kwa shs 300,000/=. Imetumika kwa miezi 5. Haina scratch na haina dosari. Inatumia laini zote. Nicheki 0714-408238/0685-734802.
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Specz ni; 16GB memory, 1gb RAM, 8MP camera na battery nzuri. Kwa 380,000
0 Reactions
3 Replies
825 Views
nauza inch 23 LED series.4 bado ina warranty ya mwaka.1 na nusu..pia nakupa na wall mont zke mpya kabsa ata bado sijazfungua..nauza kwa 320 vyote kwa pa.1..
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama inavyoonekana inauzwa aliye serious ani pm
0 Reactions
1 Replies
778 Views
wakuu natafta cm kwa bei hiyo apo juu..namb zngu ni 0767879784
0 Reactions
1 Replies
735 Views
heshima yenu wakuu nimefanikiwa kupata vijinoti nikaona bora na mie nitafute banda la kujificha pamoja na wanaonizunguka,, hela yenyewe ya kuunga unga aise nilinunua bati za msauzi nikampa fundi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Toyota starlet for sale6m, Number CNG,mileage45000km,insurance compehensive.color dark blue
0 Reactions
6 Replies
1K Views
z10
nauza bb z10 haina tatizo lolote na full accessories zake.400k pcha ni follow me on whats app
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Naombeni msaada wakubwa namna ya kununua vitu nje ya tz....samahanin kwa usumbuf,kama uk n.k
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom