Hello guys!
kitanda 5x6 cha hardwood na godoro lake la dododma inch8 vinaunzwa kwa bei ya kutupa kwa vyote only 350,000/= vimetumika kwa miez4 tu
sababu ya kuviuza nimepangiwa kazi UKELEWE so...
Habari wanajamvi. Napangisha apartment ipo gorofa ya nne ( 4th floor ). Ina vyumba vitatu kimoja ni self contained. Ukumbi na jiko. Gorofa ina lift japo bado haijafungwa maana ni mpya. Samahani...
Inchi 42 shs 880,0000 nimeitumia mwezi mmoja tu ina port zote muhimu kasoro usb.unaeza iweka ukutani au mezani.ni ya mtumba kutoka zanzibar.na nyingine nyingi zunapatikana kwa atakayehitaji ani pm
Nauza galaxy mega 6.3 used one.Simu ina light crack kwenye kioo lakini haiathiri utendaji wake.Simu haina tatizo lolote jengine wala scratch.bei 450000 only.pm for buznez...
if you are in need of beautiful and reliable house plan please consult me 0714 155854.
I also offer consultation concerning any building activity.
attached with some of my works
Wakuu natafuta shamba maeneo ya kigamboni.
- Eneo lolote kigamboni.
- Isiwe chini ya ekari tano
- isiwe zaidi a km 40 kutoka feri
Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja...
Kwa yeyote, mwenye kujua mahali Dsm ninakoweza kupata Laptops kwa bei nzuri:
Aina; Dell inspiron
Bei; 250,000 each.
Idadi; 15
Pentium;1.8 _2.4ghz
Ram: 512/1gb
HDD: 40_160GB
Charger...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.