karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu.
Pia tunapokea oda
Kwa maelezo zaidi
nicheki ktk 0754545163.
Nauza simu ya sony xperia z, iko kwenye hali nzuri sana, haina michubuko. Imekuwa imported from abroad. Iko simu tu, haina accessories. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520
KIMI DEV.CONSULT LTD, ni kampuni iliyosajiliwa na ina leseni : Pamoja na kazi zingine tuna Andaa Andiko (proposal) za matumizi mbalimbali mf. michanganuo ya biashara/miradi, grant proposal...
Gari inatembea na iko vema.
Ni 6 cylinder 1 G Kavu.
Kiukweli iko vizuri bodi lake, nimetoka kubadili rings, piston, berring, gasket, tyres, nozel. Kwakweli iko vema kwa safari yoyote nchini...
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu...
Habari wana Jamii, Mimi ni Kijana Mjasiriamali nauza KIWANJA kwa sababu kwa sasa naishi Arusha. Kiwanja kina ukubwa wa 21m x15m(62ft x 42ft), BEI 7M.Kiwanja kipo Mbagala Charambe -Mianzini(Mponda...
Kiwanja kina hatua Ishirini kwa Ishirini! Kipo barabarani kinafaa kwa biashara au makazi! Umeme upo hapo na maji yapo! Bei maelewano sitaki Dalali . Tel 0755 272776:embarassed2:
Wadau kwanza nawashukuruni kutumia muda huu kusoma kijitangazo hiki.
1.Nauza shamba langu liko wilaya ya mkuranga km 45 kutoka mkuranga mjini
2.Liko karibu na barabara ya lami iendayo mtwara au...
anaeuza smartphone nzuri kwa bei hiyo anipm. Zingatia simu ya weza kuwa mpya au used kidogo.
Inapaswa iwe na clear camera,charge atlist kwa siku moja, android itakuwa poa zaidi,isiwe...
Wapwa zangu wa zanzibar na mahali pengine tz mimi mjomba wenu natafuta video camera mtumba aina ya sonny 3ccd pd170 pamoja na accessories zake.natanguliza shukrani!
Karibuni wadada mpate mali ya kisasa pointed, sio kariakoo combine. Tipo kijiyonyama polisi mabatini, utaona bango TK Fashionz. Pia tuko facebook page yetu ni TK Fashionz, na instagram tupo TK...
Welcome to Century Laboratory. We lead the industry in cleaning bank stained notes from pink to black dyed currency. Our main line of products and services serve the financial industry as a whole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.