Samsung brand
4gb ram
processor 2.4ghz Core i3
hard disk 500 gb
battery time idle 4 hours
window 8 installed
1 year warranty niliyopewa nakukabidhi coz ina mwezi mmoja tuu tangu ninunue...
Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided...
habari zenu wana JF
mimi ni Estate agent (dalali) kwa yeyote yule anayetafuta
1. kiwanja/ mashamba ya kununua
2. nyumba/ apartment za kupanga au kununua
3. sheli za kukodi au kununua
4...
Tunadizaini nyumba za kila aina , bustani pamoja na interior design kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Pia tuko tayari kushirikiana na watu wanaojishughulisha na ujenzi.
Kamera aina ya canon d5 mark iii ikiwa na lens mbili-std 50mm, 24mm-70 mm, pamoja na boom microphone yake (pistol shape) brand new inauzwa.
Bei ni 5.3 milion
inafaa kwa kazi za production na...
Wana JF nataka kuwekeza kwenye kilimo kwanza. nahitaji kupata shamba maeneo ya mikoa ya pwani na morogoro pasiwe mbali sana na morogoro road. Kuna mtu yeyote mwenye msahada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.