Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza puppie aina ya bulldog .wamepata chanjo zote.Angalizo unawaona kwenye picha si wenyewe nimeshindwa kuchukua picha maana bado wachafu na mama yao mkali kidogo siwezi kuwagusa .bei inaanzia...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
IPO KATIKA HALI NA HIZI NDI SPECS ZAKE 2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 4G NetworkLTE 1800 / 2600 SIMMicro-SIM Announced2012, February...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama una kiwanja kilichopimwa na hakina mgogoro tafadhali tupia comment hapa tuelewane, msimu wa kupeleka watoto shule huu na Januari mwez dume mwenye shida na hela please tuwasiliane
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Hallow everyone,, NAUZA GAUNI LA HARUSI. 1:COLOUR-white 2:SIZE-18 to 20 UK (for pluse size woman) PRICE-300,000. Xo...xo..xo NAUZA GAUNI LA SENDOfF. COLOUR:Royal blue and baby yellow...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
2003 1.9L 99000km Gari ndio imeingia nchini majuzi tu Full ac Radio/ Cd player Alloy wheels Bei 10.3mil Serious buyers only
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta tairi za gari size 215/50R17. Ziwe mpya. Mwenye nazo ani PM bei yake. Niko Dar.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta huawei y300 isiwe ya tigo....
0 Reactions
0 Replies
634 Views
nauza Samsung galaxy grand. bei 450000 imetumika kwa miezi 4. ni original kabisa atakaye hitaji ani PM. nauza sababu nina shida ya hela
0 Reactions
0 Replies
816 Views
habari wakuu! mimi naishi hapa dar! nilikuwa nahitaji gari ndogo aina ya suzuki kwa ajili ya shughuli zangu ndodgondogo za kiujasiliamali tukielewana malipo ya installments ndani ya miezi nane...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja kilicho barabarani, sehemu ambayo naweza kuweka frames. Siyo lazima eneo liwe limepimwa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji Mtu wa website design kwa ajilli ya kutengeneza website yangu. Sharti: 1 awe amshawahi tengeneza website na anipatie links zake niwezeona kazi zake 2. Bei yake iwe inalipika...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Habari za wkeend viongozi wangu,nahitaji smartphone brand za Lenovo au Sony Xperia yeyote alienayo kati ya hizo iwe ni mpya kabsaa pia weka na specifications zake,Bajeti yangu haizidi laki 3.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salaam,zipo universal modem mpya pamoja na 5gb internet ya mwezi mzima kwa 35000 tu,call/text 0784 710555.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta nyumba inayouzwa Daresalaam,pia itakapopatikana muuzaji akubali kuwepo kwa wakili.Yaani nyaraka zote zitapitia kwenye uhakiki au zitahakikiwa na wakili ,na tangazo pia litawekwa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
[emoji40] [emoji40]
0 Reactions
0 Replies
697 Views
kiwe dar,bagamoyo,au pwani. unalipwa cash hapo hapo baada ya kuelewana. price.not more than 15 mln
0 Reactions
8 Replies
2K Views
It’s our Birthday session - More Than 50% OFF Get - .com .net .info .biz .co.in .org.in .eu .ws .co.uk .ru .nl For only 20,000Tsh - Valid until April 4, 14. Contact us for more information...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya leo mabibi na mabwana.Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga kakibanda kakujihifadhi mimi na makinda yangu.Nipo Dar es salaam,maeneo nayopendelea ikiwezekana ni uelekeo wa Tegeta kwenda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
natafuta kiwanja maeneo ya mbezi beach ,bahari beach, tegeta, sinza au kijitonyama, ukubwa kuanzia sqm1500, budget yangu ni mil 30-55.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja Preference : Barabara ya bagamoyo ( Sala Sala, Tegeta au Boko) , Changanyikeni au Makongo Juu. Budget: Itategema na ukubwa wa kiwanja, eneo na land scape.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom