Wadau salaam..ninauza Toyota Mark X mpya nimeitoa bandarini ijumaa kwa milioni 18 tu...ni ya mwaka 2006..automatic na rangi ni crystal white...namba zangu ni 0659300000..karibuni
shamba la kahawa lenye ukubwa wa ekari 20 likiwa na nyumba ndani yake linauzwa. Lipo wilayani mbozi kando mwa barabara ya kutoka mbeya kwenda tunduma-zambia. Lina hati miliki hai na lina mikahawa...
Habari za leo wakuu, kwa madalali na wenye nyumba, kinahitajika chumba cha kupanga Maeneo ya mwananyamala kwa kopa hadi hospitali. Kiwe self contained, maji na umeme ni muhimu, vikiwa vya...
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu.nyumba ina vyumba vitano vya kulala, choo, jiko n.k.hipo tabata garage dakika 5kutoka main road (mandela road). Nataka milioni mia nne (400,000,000/).nicheki...
Nahitaji nipate web yenye matangazo ya magari ambayo yapo hapahapa bongo.
Kama una yadi na una official website pia itakuwa vizuri. au kama una stock ya magari unaweza nitumia list na bei zake...
Toyota Cresta GX100
Year: 2000
Km: 121,000
Engine capacity: 1988cc
Very good condition working well
Full a/c
Radio AM/FM
CD player
Autolocking system
Bei 4.8mil pungufu tunaongea!!
0716398757...
Wakuu nahitaji mini laptops na laptops.
iwe angalau na
HDD 250GB na kuendelea
RAM 1GB na kuendelea
speed. 2.5 na kuendelea
nitafurahi kama nitapata accer, Samsung, hp, asus,
betri iwe...
jipatie modem ya vodacom kwa shlng 30000 ikiwa na 5GB ya bure kwa mwezi mzima utapata na chip ya vodacom bure kabisa na utaletewa popote ulipo ndani ya jiji la dar es salaam kwa maalezo zaida...
kiwanja kinauzwa kipo kongowe - kilungule
bei ni nafuu sana.
VIPIMO VYAKE NI HIVI HAPA:-
MASHARIKI - futi 89
MAGHARIBI - futi 77
KASKAZINI - futi 62
KUSINI -futi 8
NI KIKUBWA SANA
KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.