mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26 elimu kidato cha sita . Kwa heshma kubwa naomba kutangaza rasmi kuwa natafuta mke wa kuoa umri miaka 18 hadi 20 .nipo pasias kwa mawasiliano piga 0683406167...
Kwa wale ambao hamjabadilisha masaa yenu mliyoyaingiza mwezi wa December 2013 kupitia mradi wa Perfect App kwenda kwenye Cash na hamjui jinsi gani mfanye hivyo, fuatilieni nini cha kufanya hapa...
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
Habari wana JF,Kama kichwa cha thread kinavyosema hapo juu,msaada unahitajika nina shida na kias cha 10mil za haraka na nataka niweke kama bondi gari yangu pamoja na kadi yake,Nitakuwa narejesha...
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha...
Hi,
Tunatoa msaada wa kufanya matengenezo na kurepair Computers Desktop, Laptops, Printers, Scanners, Photocopier machines na machine zote ya electronics kwa bei nafuu sana. Kwa mawasiliano...
Ni chumba na baraza, na choo na bafu lako binafsi na jiko la ku share.nyumba ipo ndani ya gate na ina maji na mazingira ya kuridhisha sana.kodi kwa mwezi ni 180,000/-, utalipa kwa miezi sita sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.