Nauza toyota carina TI bei 6.3m, imetembea km 45,506 tu,cc 1480 very economic in fuel consumptions, well maintained na imelipiwa vibali vyote pamoja na bima,if ur interested just check me 0784...
Wadau natafuta msichana anayefahamu vizuri kazi ya saloon, kama kuseti, kushonea, na kusuka. saloon ipo machi
bo jeti wa maeneo ya jirani watapewa kipaumbele zaid. 0769206292
Wana JF kwa mara nyingine ninapendakuwaarifu uwepo wa mashamba - zaidi ya eka 40 katika kijiji tajwa hapo juu. Kwanaopenda wawasiliane na mimi na nitawaunganisha na wanakijiji wenzangu wenye...
Salaam zenu wana jf.Naomba kuuliza kuhusu hizi gari pajero,kuhusu ubora wake,speare zake bei mbaya? Pia kama zina matatizo ya kudumu kam gear box au head gasket.Nitashukuru maoni yenu has kwa wale...
Kiwanja kinauza maeneo ya Mbweni Mpiji jirani na Hospitali ya Mbweni na Eneo la Masista. Kiwanja kipo barabarani kimepimwa tayari na kina hati safi. Ukubwa wake ni mita 988 za mraba. Kwa watakao...
Hii ni kwa wafugaji wote na wauzaji wa kuku,
Nimepata kupost tena hapa jukwaani kuwa nahitaji kuku wa Nyama. . .bado ninahitaji na ninanunua kila kuku kwa bei ya sh 6000 ila kuna vigezo navyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.