Wana JF wenzangu,kuna nyumba zinauzwa:-
Moja iko segerea B,Bei 30M vyumba 3,Sebure,jipsam,tiles,jiko kubwa,nafasi nje kubwa,gari inafika mpaka mlangoni na
Nyingine ipo karibu na Dar West...
Car type:Toyota starlet
manufactured yr :1999
Eng capacity:1390cc
music system:music booster 1200watts
added advantage: gari ina matunzo kama inavyoonekana na kila kitu kwenye gari ni up to date...
nauza digital camera aina ya samsung yenye sifa tajwa hapo juu, kwa anayehitaji ani PM, iko poa kabisa na haina tatizo lolote, yaani bado mpya. NIPO DAR
Selling Pebble smart-watch and Leap Motion Controller
Pebble Smart-Watch:
Works with Android and iOS(officially), there's partial support for WP8 and never tasted on BB
Last about 5-6days on a...
Habari wanajamii,
Nauza tiket ya ndege ya fastjet ya kuondoka nayo tarehe 28 Jan 2014 muda wa saa kumi jioni mana nlikata mapema nkitegemea ntachelewa kumaliza shughuli yangu huku mwanza na kumbe...
HTC ONE imetumika miezi sita na iko katika hali nzuri , haina tatizo lolote. Ina kila kitu chake kwenye box kama inavyoonekana kwenye picha.
Bei ni 850,000/=
Anayeihitaji ni PM, Ahsanteni wote.
Gari hii inakodishwa kwa ajili ya matukio (Harusi,sendoff&kitchen part) au safari rasmi,kutemebelea,kama unahiitaji nicheki katika,dbuberwa@imbank.co.uk or macdonaza@yahoo.co.uk
or 0714...
Manufacture year:2001
Automatic transmission
Engine capacity:2360
Fuel:Petrol
Model number:ACM 26/Toyota Ipsum
First user in Tanzania
Price:11.5million
Simu:0752393150 Dar es Salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.