Habari wanajamii,
Kuna huu mtandandao wa Online shopping Tanzania | Buy & Sell online on Kaymu | #1 Marketplace nataka kununua simu, ila hawa jamaa namba zao za simu mbona ni za Nigeria...
NI MPYA NA KILA KITU CHAKE..
BEI NINAYOUZA::600000
BEI YA MLIMANI CITY::799000
GENERAL
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - all versions
3G Network HSDPA 800 / 850 / 1700 / 1900 / 2100...
Heshima kwenu wadau..
Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..
Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko...
Habari wakuu mwenye king'amuzi cha STAR TIMES aniuzie walau mwanagu awe anaangalia hata vikatuni. Bajeti yangu ni tshs.30,000/=. nipo dar es salaam. Mweneye nacho anitafute hapa 0715404808...
Habari za uzima wadau nauza line ya tigo pesa ila kabla ya malipo mnunuzi utahitaji kuandikishana nami serikali za mitaa na kunipa business license,tin, copy ya kitambulisho chako na passport size...
32%
Total hits: 13893446
6.7
6.8
6.7
Votes: 500
Samsung I8190Galaxy S III minireview: TheHalfling
Samsung Galaxy S III mini preview:First look
Read opinions
Compare
Pictures
360° view...
Salama wakuu,
Nina Rav 4 yangu, ya mwaka 1999 na ipo katika hali nzuri. Haina tatizo lolote
Bei 10,000,000 shilingi.
Kama unaitaji, unapenda tuongee biashara, 0762193767. Piga au tuma meseji...
​2G/3G/4G Network, 8 GB internal memory plus microSD slot of up to 32 GB, 2 GB RAM, 5 MPautofocus with LED flash primary Camera with 2 MP secondary camera, IPS LCD capacitivemultitouch...
kiwanja kinauzwa kipo bagamoyo keep left ya bagamoyo - msata road, ni m 100 Toka barabara ya lami ya kwenda msata kina mita za mraba 3360(square meter) na kina hati. Bei maelewano. Kwa mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.