Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kuna rafiki yangu alinituma Blackberry ya Kisasa yaani Blackberry Z10 kutoka marekani. Baada ya kufika Dar, akaanza story nyingine kwamba nimpe kwanza simu kisha atanipa hela baada ya wiki moja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana Jamvi, Zinahitajika tatu, ziwe katika hali nzuri si zaidi ya miaka mitano. Chain roller, Aina Komatsu 200 ama Hyundai 200
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Kichwa cha habari kinahusika, nina desktop 21inch flat screen hiko full nauza kwa laki tano tu (500,000),dell.!SIMU BADO ZINAPATIKANA SAMSUNG GALAXY S3 KWA LAKI 5(500,000),TECNO PHANTOM KWA LAKI...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Natafuta mbao zenye size ya inchi 4 kwa inchi 4. Nipo Dar. Nazihitaji leo hii!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa vitabu vya kielektroniki (ebooks) kwa bei nafuu 10,000/= TO 20,000/=. Tuna vitabu vya aina mbalimbali kwenye 'fields' tofauti kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ziko na Km ndogo zote zinafaa kwa matumizi ya private au kifamilia. Siwezi weka details za kila gari hapa so wee piga tu kupata bei na details zake. 0716398757 Brevis Rav4 Nissan Xtrail Subaru...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wakuu mwenye aina hiyo ya Lap Top tufanye biashara bei ni 500,000/-
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa yeyote atakaekuwa na deki original ya DVD na options za aina yote deki amabayo haichagui awasiliane nami nataka kununua ila bei lazima akubaliane na mimi ambayo ni 30000 kwa yeyote mwenye nayo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza sim tajwa hapo juu,,ni mpya kabisa ndani ya box...inatumia line 2 and white in colour.if you will be interested please send a PM picha zimenishinda ku upload hapa. bei 750,000/= karibuni
0 Reactions
4 Replies
991 Views
wana JF, nipo kibaha, nina shida na fundi ama mtu yyt anaeweza kufanya set up ya king'amuzi cha azam tv hm kwangu! anipe na gharama yake!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wandugu,kama kuna mtu yeyote anaweza niuzia friji dogo kabisa...ajitokeze. ni kwa ajiri ya matumizi binafsi ya kinyumbani. utaratibu. 1.nitajie spesfication zake 2.umelitumia muda gani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza TV aina ya TOSHBA old model inch 30,kwa 280000/= npo moshi.
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Nauza pikipiki HONDA rangi nyekundu kwa sh 1.8M,imetumika miezi 8 tu.picha imegoma kudownload kwenye uzi huu ila mwenye hitaji ani PM na kunitumia email adress yake nimtumie picha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wafanyakazi WA mjini wanasumbuka usafiri kama wanataka niingie nao mkataba WA kuwa peleka kazini na kuwafuata piga 0714064767
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Year: 2004 67000km 1300cc Automatic Cd player, AM/FM Full AC New Tyres Sport rims Bei 7.3mil 0716398757 Serious buyers only
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu ikiwa impya kabisa na vifaa vyake vyote inauzwa.. Bei ninayouza::115000 Bei ya Mlimani City::155000 0765050591 Ina whatsApp,opera mini,etc.. Unapata na Memory Card 4GB...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji chumba kimoja ambacho ni self contena maeneo ya knyama,kinondon, na mwenge. Bei 70000 kwa mwez
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeongeza simu, nauza htc desire hd a9191 kwa laki 3(300,000/),still tecno phantom f7 300,000/ na samsung galaxy s3 500,000/ zinapatikana.zipo katika hali nzuri kabisa. 0714 411041/0756...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf,Husika na kichwa cha habari hapo juu,Nauza Samsung gallaxy s3 original kwa laki tano na nusu tu ( 550,000/),Tecno phantom A+ or f7 kwa laki nne (400,000/)tu na tecno l3 kwa laki na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
biashara biashara biashara ya kuku wa kienyeji: Habari za majukumu waungwana, natumai tunaendelea na ujenzi wa taifa km kawaida, nina kuku wa kienyeji, majogoo zaidi ya 80, wanauzwa wakiwa wazima...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom