Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wakuu, samsung Note II inauzwa iko ktk hali nzuri original,bei yake laki 6 cash. Thanks.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza simu Phone:0713637186 Aina:HTC EVO 3D Bei:Tsh.400,000 Mahali:kinondoni dsm Muonekano:Simu ni used unapatiwa na charge tuu pia muonekano wake siyo mbaya saana inamichubuko kidogo
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nipeni. Offer nauza nokia n8
0 Reactions
2 Replies
804 Views
kiwanja kipo Mwanza Buswelu B...ukubwa ni 63kwa 33...kipo fresh kama unahitaj 0756654525
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey mwenye note II kwa 500 kamili naomb anicsll 0653 457659 plzz
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Nahitaji cmu aina ya huawei iwe used kwa 120,000/=
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni nokia lumia 620. Ni pm tufunge biashara iko ktk hali nzuri.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ina 3GB internal 3G Network Applications zote za muhimu zinakubali Whatsapp Instagram JamiiForums Viber malizia Bei 150,000 0716398757 Picha hazijatoka vizuri ila simu ya ukweli.
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Je una blackberry ambayo ina mep 0? Yaani ina zero unlock attempts? Nipigie kwa namba 0715353108 au 0756144060 Kariakoo Online
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mpya original. Nokia 2330-2 v 09.85 11-03-10 rm-512 (c) Nokia variant: 00.00 virtual variant: no virtual variant Language v 09.85 11-03-10 rm 512 (c) Nokia ssa. jipatie kwa punguzo kubwa la bie.
0 Reactions
5 Replies
994 Views
.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Pata 5Gb kwa 10,000 badala ya 25,000. Call or sms 0779420000
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kamera aina ya gopro black edition 3 ya kununua. Alie nayo anitafute inbox au kwa namba 0782213161
0 Reactions
0 Replies
567 Views
nauza kamera canon 500d ina pixel 14 . inashuti video fully hd na kupiga picha za mnato (still picture) kama unahitaji nicheki tuongee biashara bei ni poa kabisa 0782213161
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza mashine ya max malipo bei poa imetumika mwezi mmoja...0756 654525
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa kipo bagamoyo keep left ya bagamoyo - msata road, ni m 100 Toka barabara ya lami ya kwenda msata kina mita za mraba 3360(square meter) na kina hati. Bei maelewano. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heey nahitaj huawei y300 kwa 120, kama itapungua zaid ya hapo sio mbaya..! Kama kuna mtu anayo anicall 0653 457659
0 Reactions
0 Replies
708 Views
nauza kamera canon 500d ina pixel 14 . inashuti video fully hd na kupiga picha za mnato (still picture) kama unahitaji nicheki tuongee biashara bei ni poa kabisa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza simu hiyo, imetumika iko kwenye hali nzuri. Ni nyeusi, inakuja na usb cable. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520,au pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom