Vinapatikana kimara suka dk 5 toka morogoro road sh laki moja kwa mwezi kodi miezi sita. Contact 0715688433
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Za asubuhi ya leo Waungwana,natafuta sofa imara na comfortable hapa DSM kwa reasonable price (something btn 1 to 1.5 M) kwa wenye uzoefu tuelekezane kwa kwenda Natanguliza shukrani.
Habari wandugu
Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu...
Habari wadau,
nina samsung galaxy pocket( 6months used)
-its in excellent condition,,((no scratch))---ipo ndani ya cover since imetoka kwenye box na screen protector
-unapata na new 4gb memory...
Habari zenu wanaJF
Naomba taarifa mahala ninapoweza kupata vifaa vya car wash kwa maana ya mashine na vifaa vingine. lengo langu ni kuanzisha car wash mitaa fulani hapa Dar
Asanteni
Wadau nina chumba na sebule...nimepanga hivi karibun sijahamia bado lakin nimepata kazi zanzibar...so nahitaji mtu a kurudisha kodi yangu tu miezi 8 asaini mkataba mwenyewe
Kwa mahitaji yako ya namna ya kutumia Tally ERP, Myob na Quickbook. Software hizi hutumiwa katika biashara mbalimbali mfano, Bureau de change, Pharmaceutical Industry, Hotel, Bar na Club Maduka...
Habari zenu waungwana!
Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile.
Nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.