wakuu nahitaji blackberry used iwe na uwezo wa whtupz, nna elf 70, na nakuachia TECNO T611 ina wiki 2 tu iko full internet bei yake niliinunua kkoo elfu 65 kafanye research utajua hiyo bei ya hiyo cm.
jamani nna photoprinter hiyo ilikuja ina wino ndani yake pia ikaja na wino ule wa nje wenye vidumu kwa wanaojua nafikiri wamenielewa tatizo limetokea ule wino iliyokuja nao umeisha sasa...
URGENT:
hello everyone,
I am in need of printer Epson T50 or P600x for my photo studio.
the printer should have CISS Ink system.
i need it even today.
please email me at nat867@gmail.com
i am...
nahitaji msaaada wenu wakuu.
Nimezunguka maduka ya Arusha nzima kutafuta hii printer ya epson1410 nimekosa.
Naomba msaada naweza nikaipata wapi na nikwa sh ngapi?
Ahsanteni...
Dell inspiron N 5030
Colour : red
Condition : used
HDD : 500
RAM : 4GB
Processor : dualcore 2.3Ghz (each)
Price : 600,000
Call 0716-369299
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Habari wanajamvi . Naomba taarifa juu yaasali mbichi ambayo inauzwa kawaida shillingi elfu 20 kwalita moja na ile yakawaida wanauzaga elfu 10 . Tofauti ni nini? wanachanganya nasukari au...
Blackberry Bold 9780 naiuza, nimetumia miezi 9 sasa! Alie tayari anitafuta 0783-181838
Ipo ktk hali nzuri.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka
azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote
muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa
futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri
kwa...
Salam wanajamii
Natafuta kifaa cha kusomea ebooks aina ya kindle. Kama kuna mtu anayo au anaweza kuipata, aniuzie.
Nimetafuta kwenye maduka hapa TZ nimekosa.
Kwa mawasiliano piga 0784 707789...
Sumsung galaxy 3 mini, Genuine, Internal memory 8gb ikiwa na guarantee toka Sumsung. Ukiwa Arusha nitapenda tuonane nikukabidhi ili ujionee mwenyewe ni original pamoja na kufaamiana in case nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.