Habari wadau naomba kueleweshwa Kuhusu hii gari Mitsubishi Chariot Glandis FOB ni $536 na CIF ni $1754. Je mpaka niitoe bandarini itanigharimu kiasi gani? Je ukubwa wa CC una effects kwa Fuel...
Nauza perfumes za like kwa be I rahisi, original genuine/money back guarantee! On their authenticity.
1. Beyonce heat, 100mls
2.Glow by JLO 100mls
3. Roberto Cavalli ... serpent 100mls
Hizi...
Nina swift la 2004, lipo kwenye hali nzuri anatumia wife. Nataka kubadilishana na mtu mwenye IST namwongezea na 1.5million. IST=Swift+1.5mil. Kwa Mawasiliano ani PM
Ndugu...
Nyumba inauzwa iko chanika masantula,
Ina vyumba vitatu,choo cha ndani,dainingi,na sehem inayotosha kuweka parking ya gari,
Simu kwa anayehitaji tu.
0718769098
Bei 25 milioni, mazungumzo...
Wadau nimepata uhamisho kikazi kuhamia Mwanza sina matarajio ya kurudi kuishi Dar tena,hivyo nimeamua kuvipiga bei vitu vifuatavyo maana gharama ya kuvisafirisha imenishinda:
1. Kitanda...
hello
i have a photo studio and i need photo albums and frames za kununua za aina tofauti tofauti
anayejua wapi naweza kupata nitashukuru sana.
mwenye kujua nitashukuru akinijuza kupitia hapa au...
Jipatie Epson printer iliyounganishwa na wino wa nje kwa sh. 300,000/= wahi kabla mzigo haujaisha. Print picha na documents za rangi bila hofu ya gharama za wino.
Q Mobile has just recently launched out with their brand new Qmobile Noir Quatro Z3 Vs Qmobile Noir Quatro Z4. Well this has been not the very first time that Qmobile has introduced such splendid...
Napenda kuwajulisha kwamba asali mbichi kutoka mkoa wa Katavi inapatikana kwa wingi, bei ni Tsh 200,000/- kwa lita 20. Inauzwa kwa jumla na bei inazungumzika. Kwa anayehitaji tafadhali ni-pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.