A LAPTOP URGENTLY NEEDED...
It must atleast have the followings specs.
HDD 250GB,RAM 2GB,PROCESSOR 2.0 AND
THE REASONABLE BATTERY LIFE...
For a serious biz,holla through
0752385949
habari gani wana JF, natafuta soko nnambao aina ya pine patula na bodobodo vipimo vyote vinapatikana, pia nna mbao fupifupi kuanzia futi mbili na kuendelea bei ni maelewano,pia nauza mabanzi jumla...
chumba cha kupanga kinapangishwa kipo makumbusho ni master-room, sebule,dining room, na jiko na kina ac
Bei ni laki mbili na nusu tsh (250,000) kwa mwezi
Ukitaka kukiona wasiliana nami kwa...
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!
Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia...
Wanabodi Salam
Niliomba kujua utaratibu ukoje wa msamaha wa tozo za kuingiza gari kwa watumishi wa umma
Pia ni Watumishi gani wa Umma wana msamaha wa kuingiza magari
Karibuni wadau
Kwa wale wote mnaosumbuliwa na tatizo la Majitaka, tuna suluhisho sahihi kwa ajili yenu. Iwe ni mtu binafsi, shule, kiwanda ama taasisi yoyote, tunaweza kukufikia na kukuhudumia. Tunatumia...
Nyumba inauzwa eneo la Ukuni Bagamoyo; kiwanja kina hati na kina ukubwa wa sqm 1009. The house is located in a prime area near Ukuni Real Estate Bagamoyo. Kiwanja kipo umbali wa M200 kutoka...
Nyumba aina ya apartment inapangishwa iko mikocheni, ina vitu vyote vya ndani, yani full furnished, e.g sofa, t.v ,dstv, fridge, na vingine vyote, ina vyumba viwili vyote mastaroom, sebule, jiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.