nahitaji smartphone ya haraka kwa bei poa kabisa ya laki moja.....
preferably Huawei acsend au Samsung dual...screen 4inches na kuendelea...
twende kazi
online store website for sale,inaitwa bongostore.blogspot.com,il a unaweza kuredirect this sub domain to your purchased domain name,website ina features zifuatazo.
-link for fb page,twitter and...
Fremu ipo kimara suka dk 5 kwa mguu toka morogoro road.
Haina udalali, bei 60,000/= kwa mwezi, kodi miezi 6
0715688433
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mimi ni daktari wa mifugo napatikana kwa ajili ya kutibu mifugo at your door steps pia ku design mabanda ya mifugo mbwa ng'ombe kuku nk ni pm twende sawa
Wana Jamii Forum wenzangu, Nina solar kit yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa watts 500 ambao unatosha kuanzisha Biashara kuonyesha TV, kuchaji simu, kinyozi na hata secretarial services. Kama...
iwe na specs zifuatazo
Intel core 2 duo 2.0ghz au zaidi
250gb hdd au zaidi
2gb ram au zaidi
DvD rw
wifi
webcam
3hrs batry au zaidi
Dell/hp/acer/samsung. hata min nitachukua ila isiwe na scrach...
Toyota Prado station wagon, 3.0 IKZ Diesel engine iko katika hali nzuri,inatembea na ni automatic.Inauzwa kwa bei ya kutupa ya milioni kumi na nne(14,000,000/=).Mmiliki ni raia wa kigeni.Bei...
Nyumba ya chumba kimoja chenye master bedroom, sebule, jiko, dining hall, parking, inapangishwa maeneo ya makumbusho na ni nyumba nzuri sana kwano bado mpya
Bei yake ni shilingi 300,000/= kwa...
Naitaji maeneo mbele ya ubongo na nyuma au magomeni....
Iwe ni standard na bei ya kawaida... Naomba hata kama una namba ya dalali maeneo hayo niPM
asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.