Nna sh 400,000/= cash natafuta mini laptop kwa mwenye nayo anipe specs zake pia battery life inamata. Kwa muuzaji aliepo dar au arusha pls!!
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Natarajia kukabidhiwa apartment yangu kwenye maghorofa mapya ya ubungo NHC sometime in January 2014, nyumba ina two bed rooms, choo, bafu, sebule na Jiko IPO FIRST FLOOR nyumba ipo kwenye PRIME...
Wataalamu wa urembaji wa magari,ikiwa ni pamoja na kufunga radio{music system uipendayo}ufungaji wa alarm,orijino seat cover,sports rim na mengine mengi.tunapatikana lumumba jijini dar es salaam...
Wakuu,
Nahitaji desktop CPU na nina 200,000/= tu, mwenye nayo aseme specifications zake hapa na isiwe old model, haihitajiki kwa haraka sana lakini kabla ya tr 5 jan nitakuwa nimeshailipia...
Jipatie blackberry torch
BRACKBERRY TORCH 9800
price: 250,000
full specification check link: BlackBerry Torch 9800 - Full phone specifications
USED BUT IN GOOD CONDITION
mobile: 0716 471365...
Jipatie HP Photosmart C7280 kwa bei poa, Ina print picha zenye ubora wa hali ya juu kwa kutumia wino wa nje hvyo faida kwako ni 99.9%. Ni pm au piga simu 0754626616 kwa maelezo zaidi tupo Arusha...
Overview:
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule,kitchen, verandah servant's quarter.
Vyumba viwili vikiwa self-contained and air conditioned.
Ina uzio na parking ya kutosha gari nne, garden...
hTc one SV naiuza ipo kwenye excellent condition ni yangu nina matatizo kidogo ndo maana nauza,
MEMORY
Card slot
microSD, up to 32 GB
Internal
8 GB, 1 GB RAM
CAMERA
Primary
5 MP...
Tuzipendekeze biashara zilizopo kwenye maeneo yetu zenye bidhaa na huduma bora kama maduka, mahoteli, kumbi za starehe, hospitali, shule, vyuo, Sanaa za mikono, n.k. ili ziweze kupata matangazo...
Nahitaji moja ya gari hizo. Iwe ktk hali nzuri ndani, nje na injini. Si zaidi ya milage 110,000. Iwe imelipiwa insurance na motorvehicle. Iwe halali si magumashi. Isiwe na accident history. Isiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.