Kwa yeyote aliemtaalamu wa kiufundi katika laptop ambayo haidisplay kwenye screen yake naomba kusaidiwa:
Laptop yangu ni DELL INSPIRON 1545, 2GB RAM, 320HDD. ilinunuliwa 2011 March 11th, Brand...
bata mzinga wenye uzito wa kutosha wanapatikana kwa bei ya maelewano na muuzaji,pia bata bukini pamaja na kanga wanapatikana.
kwa mawasiliano ya simu piga namba:0757 662401
Salaam wana JF, Kuna nyumba inapangishwa kinondoni B. Vyumba 2, kimoja ni master na kingine cha kawaida. kuna sitting room, Kitchen with Fence, maji na umeme.
BEI: TSH.250,000/=( Strictly no...
Nimeanzisha kundi la kucheza show kwenye mikutano mbalimbali ya vyama vya kisiasa, ngo,s na taasisi mbalimbali.
Please contact me via 0767454455 ukihitaji huduma yetu.
heri ya sikukuu ya christmas wanaJamii wote. Bila shaka mnaendelea kusheherekea sherehe ya kuzaliwa mwana wa Mungu kwa amani na utulivu. Wakuu nimeamua kuuza mkoko wangu sababu ya kuuza ni kwamba...
nahitaji pikipiki used yenye afadhali. Iwe :-
boxer bm150 au sanlg150 au TVS
bei:- around milioni 1. Isizidi sana
eneo:- Dar es salaam
e-mail:- lheysaid@gmail.com
Nauza simu ya IPHONE 4 mpya gb16 ipo poa, out of contract ipo poa unaweza itumia nchi yeyote haina lock, INA SECURITY YA KUTOSHA NAMAANISHA IKITOKE IMEIBWA UTAIPA FULL SECURITY . Naiuza 400000...
Habari za wakati huu.
City Music Sound inapenda kuwatangazia kuwa tunakodisha music stage na dj's kwa ajili ya sherehe mbalimbali. Tutakupatia kila kitu kwa ajili ya sherehe yako kuanzia vifaa...
Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.