Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu habarini za leo...tunauza vitunguu, Red Bombay vizuri tu, vipo ghalani barabarani kabisa; jirani na Wami Dakawa-Mvomero, Morogoro. 0715 389 633 au 0784 389 633 gonga link hii kwa maelezo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mistubishi Pajero io inauzwa kwa bei ya Tsh.11 milioni. Gari iko kwenye hali nzuri sana na inafanyiwa service mara kwa mara.Na aneyeitumia ni mwanamama. Its a make 2000 ; 1850 cc Mileage...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kama kuna mtu anajua bei zake hapa Tanzania. Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
pata software itakayokusaidia kupangilia CV yako katika mfumo wa kuvutia na wa waki-digitali pia software hii ina video mbalimbali ambazo zitakusaidia katika kujiandaa na maswali mbalimbali ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
nauza ipad 2 ya 32 gb .ni 3g na wifi iko katika hali nzuri 0654160092 bei 500,000
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu plot yenye ukubwa wa mita 12 kwa 15 inauzwa kwa fedha za kitanzania shilingi milioni nne tu. Kiwanja chenyewe kipo karibu na shule ya upeo english...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza simu htc nexus one kwa 250,00/ haijawai kufunguliwa wala kupelekwa kwa fundi. Iko katika hali nzuri. 3G, wifi. Anahitaji ani pm.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Taa ya nyuma ya kulia ya Altezza inahitajika kama unayo ni pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sold Out..........................................................
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza ipad 3, 16gb, 3G, Wifi supported 450k 0786 305664
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wasiliana 0657781616
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Niko dar Plz PM if interested
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toa oda yako ya kuku WA kienyeji kutoka singida piga namba0714064767
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza uyoga uliokaushwa,uko katika packet za gram 50 na gram 25,well packed,ni mtamu na umetengenezwa kutaalamu na bei yake ni nafuu.Mwenye kuhitaji anitumie PM ili nimuelekeze napatikana wapi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, nauza kuku chotara wana miezi 8. Ni wakubwa wanafaa kwa kula au kufuga maana majike wanataga na majogoo wanapanda kwa wale wanaokuwa maeneo ya Posta mpya nitawaleta ijumaa kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ni smartphone ina 3g,wifi,camera 3.15mp,android version 2.2 inaweza kuwa upgraded hadi 2.3, pia ina support whatsapp,instagram etc Bei LAKI NA ISHIRINI serious buyer wanicheki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nahitaji simu yenye uwezo zaid ya hii(nokia 5200) bajeti yangu ni elfu 70 plus nokia 5200. aliye tayari anicheki 0718 097972
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIwanja vipo kigamboni wilaya ya Temeke, ni 16km toka Feri ya magogoni , vipo katika block moja. vimeungania kimoja kina Sqm 1,357 bei ni Tsh. 17m kingine kina Sqm 1,682 bei 18.5 m vimepimwa...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
kwa anaehitaji sim tajwa hapo.anitafute bei ni afodable uciogope.0654715457
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom