Wakuu, habari ya kazi.
Mimi nahitaji kuanza kuwekeza atleast 50000 kila mwezi. Natamani sana wadau mnisaidie ni financial institution gani hapa Tanzania inatoa huduma hiyo. Na watanilipa interest...
OFFER NOT TO BE MISSED
FEATURES : USB / SD CARD / FM / REMOTE
Price : 70,000 (1 year Warranty)
INTEX MULTIMEDIA SPEAKER IT-1875 SUF
Features :
Computer & Mobility connectivity
Volume
USB
SD...
kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam.
Kiwanja kipo sehemu nzuri.kutoka bara bara kubwa
kwenda kwenye kiwanja ni nusu kilomita 1 kuna
bara bara nzuri inayopitika kwa gari. Umeme upo
karibuni...
HABARI ZENU.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Mimi ninahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Moshi sehemu za majengo,mbuyuni, soweto na sehemu za moshi hapa mjini. Chumba kiwe self...
kiwanja kipo pugu kajiungeni njiapanda ya kwenda chanika
ukubwa 41.5 x 19.3
kiwanja kimepimwa na kina HATI
KIWANJA KIPO KAMA RAMANI INAVYOONESHA
BEI MIL 15
PIA MAELEWANO YAPO
MAWASILIANO...
wadau kwa alie na laptop computa aniuzie fasta
nina 300'000 cash.kwa leo tu.
laptop iwe nzuri na specfcation zake ziwe kuanzia 1.5 gb of ram.na hdd isipungue 250gb.kwa alie nayo....
SPECIFICATIONS:
RAM 3 GB
PROCESSOR 2.30 GHZ
SCREEN-17.3 INCH
LAPTOP IS IN EXCELLENT WORKING CONDITION;
SERIOUS BUYERS CALL 0714205419 AU NI PM
S17.3-inch 1600x900 pixel screen...
Model: iPad 2
Storage: 64GB
Display: 9.7 inch
Condition: New with the original box
iOS version 7
Carrier: factory unlocked
Support sim cards and wireless connectivity
Price: tsh 750,000/=
Call...
kwa wakazi wa mwanza kuna samsung galaxy mini s3 inauzwa kwa bei nafuu kabisa so kwa mawasiliano zaidi nitafute kupitia 0764339400 changamkia ofa hii mie niko mwanza na sio mchina kumbuka hilo
Ndugu wana jf
kwa yeyote mwenye gari hizo nilizo zitaja nahitaji moja iliyo kwenye hali nzuli mpa ac
na bei iwe ya kawaida kulinga na halihalisi.
Mwenye nayo ani pm ikiwezekana aweke picha.
1 Owner (mwanamke) - very clean inside and outside
Details za gari:
Model - Nadia
Body type - station wagon
Colour - pearly white (very clean)
Year of manufacture - 2000
ODO: 122552
Engine no -...
Nahitaji mnitajie website za ukweli na uhakika nataka kununua gari online from Japan ...kama kuna mtu anazijua hizo site ....maana matapeli wengi saiz watu wanaduplicate website...
Nauza blackberry curve 8520 zipo 2 each 150000/= zipo katika hali nzuri pia nauza HTC Sensation imetumika miezi miwili tu -320000/=. Nipo dar only serious buyer ni PM tufanye biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.