Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye,nipo mara-serengeti.atoke mbeya,morogoro,iringa,au njombe.0766942129
0 Reactions
0 Replies
637 Views
nahitaji kuwa internet provider, nianzishe internet cafe then nianzishe huduma hiyo, Mwenye uelewa na Mambo hayo anaweza kunipa mwongozo
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Cpu ina Hd 20gb Ram 256mb Processor 2.9 ghz Jipangie mwenyew bei ya kununua.alafu ni txt 0788272824 au PM
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Habari yenu ndugu zangu, Kuna mali mpya hapa, ni LED 3D flat screen..... Sifa za JVC LED 3D TV 55 INCH, Product Identifiers Brand JVC Series Sapphire Series Model JLE55SP4000 MPN...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
iwe Ram 4gb processor 2ghz hard disk 500gb manufucture •dell •toshiba •hp
0 Reactions
0 Replies
806 Views
ACER E1-571 Processor: Celeron Ram : 2 GB Hard Disk : 320 GB Dvd-RW, Webcam, Card Reader, Bluetooth, WIFI, 15.6" Operating : Dos 1 YEAR WARRANTY ""OFFER PRICE 550,000/="" Wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye uwezo wakutengeza domain yakampuni anitajie bei tufanye biashara Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF. Nahitaji Suzuki Carry yeyote kwa wale wanashughulika na uagizaji wa magari (wenye yards) iwe imetengenezwa kati ya 2000 - 2005, na imetembea km 30,000 - km 70,000. Kam unayo...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Kiwanja kinauzwa : Wapi: Chanika Masantula Ukubwa: Ekari moja Vilivyomo: nyumba ndogo ina vyumba viwili (milango ya grill), miembe na minazi Iko karibu na shule ya Chanika Tungini, karibu na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mbwa mtoto jike mwenye umri wa miezi miwili na nusu (picha yake download attachment) anauzwa jijini mwanza, anaendelea na chanjo. bei yake tsh 300,000. vilevile banda la mbwa lenye uwezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni kwa yeyote anaehitaji bidhaa/biashara yeyote kutoka Dubai. Tafadhali pm
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cpu ina : Hd 20gb Ram 256mb Processor 2.9 ghz Jipangie bei ya kununua alafu ni txt 0788272824 au PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 32 kwa 36 kinauzwa kina nyumba kwa pembeni yenye vyumba vitatu kipo kiluvya gogoni(Njia panda ya kawawa), ni mbele kidogo ya kibamba.Umeme na maji yapo. Bei ni 16.5M...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
N black iphone 16 gb Haina michubuko kabsa Orgnal Miziki zaid ya elfu moja ipo ndan Charger yake utapata pale utakapo nunua Bei shiling za Kitanzania 400,000/= Inazungumzika Anaehitaj...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
friends nina line za tigo pesa kwa muhitaji nipigie kwenye my number with cash au ni pm wahi line na chache 0716749125
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friends kwa yeyote anayehitaji line ya tigo pesa kwa ajili ya biashara naomba tuwasiliane through my number nicheki mapema till zipo chache 0716749125
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Nauza Suzuki Vitara imported from England this year. Nauza Suzuki Escudo imported from England this year. Chagua kati ya Vitara heavy duty gari ya kazi gari ya watu wanene. au Escudo gari ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
anayetaka ani pm au anipe number mint condition
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Mambo ni aje wadau? Aisee nahitaji msaada wenu,natafuta chumba(self) ikiwa na sebure itakuwa poa zaidi. Nahitaji maeneo ya Tabata,Mbezi ya Moro road,hata kibamba. Ninao uwezo wa kulipia miezi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza kuku Chotara wapatao 45 kwa bei ya kutupa kabisa Sh300,000/= Hii ni sawa na kama 6,600 kwa kila kuku... Kuku wana umri wa Miezi minne na nusu na baadhi miezi mitatu na nusu, wamechanjwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom