Nina galaxy s2 original frm korea. Ni used for 3months. 16gb internal memory, 1gb ram. Camera ina 8mp na ni auto flash.
Nataka tubadilishane na cm inayofanana na hiyo at least. Brand iwe ya...
Kiwanja chenye size ya nusu hekari yani miguu 60 kwa 60 kinauzwa chanika lukooni nusu km kutoka kwenye shule ya msingi lukooni....
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Shamba la ukubwa wa Ekari moja(1) nauza kila kwa Shilingi Milioni tatu (3,000,000/=) Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road eneo la Visiga Seminary Madafu, kutoka...
habari wana JF, nimatumaini yangu huwa mnapata muda wa kusoma habari za biashara na uwekezaji kwenye ukurasa huu,
hivyo kama we ni mmoja wao, basi napenda kuwajulisha watakao hitaji ardhi ya...
Kwa wale wakazi wa nzega ninahitaji kiwanja maeneo hayo. Mimi niko dar es salaam ila mwenyeji wa tabora. Bajeti yangu ni kati millioni moja mpaka millioni mbili.
Dear Prospective Clients
We would like to take this opportunity and introduce you to a new name in Digital Marketing.
Eneo Lako, prides itself as one of the leaders in the Digital Marketing...
hello jf
nauza gari aina ya Toyota Corona Exiv..ni gari yangu hakuna udalali ipo dares salaam.
ni gari yamwaka 1999.....
inatembea na ipo kwenye hali nzur kama inavyoonekana nahitaji tu kuiuza...
FRIDGE INUZWA KAMA UNAVYOIONA KATIKA PICHA...IPO MWANZA MAENEO YA BUGANDO BEI 270000/= UKITAKA NICHEKI 0688148836 .AKIPATIKANA MTEJA POST HII ITAFUTWA ....
AINA YA WESPOINT
Nahitaji mtaalamu wa manunuzi na mwenye uwezo wa kutayarisha tenda,kama yupo au kuna mtu anamfahamu anipe contact zake kwa kuni PM tafadhali.Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.