Wapendwa
kwa wale wote ambao mngependa kumiliki blog kwa ajili ya kuweka taarifa na habari mbalimbali
au biashara na mengineyo mnaweza kujipatia very nice designed blogs zenye kila sifa kama...
Katika kuendelea kusogeza huduma kwa wateja, Pamoja na kuendelea kusambaza ATM nchi nzima, UmojaSwitch sasa imekuja na UmojaMobile, hizi ni huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi kwa wateja...
Suzuki Eskudo (3 door)
Imefanyiwa overwhole Engine mwezi Nov 2013
Imelipiwa sticker zote hadi Nov 2014
Ina tairi mpya
Ina cd music player
Rangi yake ni maroon japo imefifia
Ipo Arusha...
Nyumba inauzwa. Iko Bunju, Block No. 20, Plot No. 50. Kiwanja kimepimwa na kina hati, kiko kwenye Eneo la Mradi wa viwanja 20,000. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1444 (Low Density)
Nyumba...
Ekari moja na nusu
mita 700 kutoka barabarani
Ni sehemu tambarare
Panafaaa kwa makazi
umeme upo jirani
Bei ni milioni 30
Kwa mawasiliano piga 0712 721350
guys i'm in need of those galaxies...
1* nataka s2 yenye internal memory gb32
1*na yenye gb16
--------
ncheki pm tuongee biashara..
NB:mzigo uwe original n in mint condition...isiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.