Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini za asubuhi wandugu, naomba msaada jamani, key board yangu imekufa leo asubuhi baadhi ya herufi hazi function, imetokea bada ya kuisafisha kwa kutumia spray, msaada kama inaweza kupona...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Children's Outdoor Garden Spaceship Swimming Pools (Inflatable Paddling Pool) IMPORTED FROM THE UK Description: This swimming pool, is perfect for all the family on those hot summer days, it is...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Nipigie tuongee kuhusu noah tuingie mkataba Wa kubeba wanafunzi Wa chekechea 0714064767
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Ndugu wanajamvi, Salaam! Hii ni nyumba iliyopo Pasiansi Chini, barabara kuelekea kiwanda cha bia TBL jijini Mwanza. Inavyoonekana pichani ni nyumba ya uwani, ambapo iliachwa nafasi mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,nimeona hapa ni mahali sahihi,kwa wenyeji wa moshi naomba mnisaidie kupata kiwanja,kwanza mnishauri mahali pazuri ni wapi,mimi apendelea zaidi mjohoroni,msaranga au bonite.nina...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nichek PM tufanye biashara ya hiyo kitu hapo juu
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Moto Atrix HD MB 886 kwa 430000 na Nexus kwa 400000 nipo Dodoma kwa anayeitaji call me 0757383551.Zote zipo kwenye hali nzuri kama mpya . General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NATAFUTA CONTAINER LA KUNUNUA 20 ft DAR Wakuu salama ! ! ! naomba kwa yeyote wa kunisaidia kupata container HALALI la kununua lenye Documents zote, waweza kuni PM weka na bei yake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello ndugu, mie ni Mjasiliamali na muda mwingine huwa napenda kupiga stori na wazee, kuna kona nimekutana na mzee katika ongea ongea tukazungumzia suala la mali za Mjerumani na akanionyesha Rupia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba unipm nahitaji hizo wino
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Biashara kama una lumia 625 waweza kuniuzia au km bado unapenda window phone basi tubadilishane na lumia 620 na hela juu nitakupa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
cm ipo poa..bei 350 ..4 serious buyers tuwasiliane 0767879784...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Nyumba kubwa na nzuri inapangishwa ipo mikocheni ina vyumba viwili, kimoja na masterbedroom, jiko bafu na choo na sebule, maji ya uhakika, parking ya kutosha, ipo sehem nzuri sana Bei ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu salama ! ! ! naomba kwa yeyote wa kunisaidia kupata container HALALI la kununua lenye Documents zote, waweza kuni PM weka na bei yake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji Oil filter za Toyota Passo zinapatikana na bei ni 15,000 Tshs. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii 0783 882 883 au nitumie PM.
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Hii ni box mpya,haijawahi kutumika ya kuunlock na kuflash simu za aina zote zikiwemo Samsung, lg, sonyerricson, huwaei,zte nk. Contact: smileltd@hotmail.co.uk 0714101020
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Back
Top Bottom