Shamba linauzwa lenye ukubwa ekari 45 maeneo ya USA King'ori kila ekari kwa shilingi Milioni 15, kilometa mbili kuingia kwenye eneo kutoka barabara ya moshi arusha. 0755033997
habari zenu wana jf,naomba mwenye ujuzi katika masuala ya lubricants[oil]anipatie elimu ktk sector hii.lubricants zenye masoko,masuala ya ushuru n.k.natanguliza shukran zangu
WANAJAMII FORUM,kuanzia tarehe 19/12/2013 nitakuwa MOSHI na ARUSHA na korosho daraja la kwanza kutoka Mtwara,korosho za brown,kwakweli ni nzuri sana...nitakuwa nauza bei nzuri...nawakaribisheni...
Tangu yazinduliwe haya maji ya Jaydee sijawahi yatia machoni, hivi yanatengenezwa bado ama aliona biashara hailipi akaacha? Maana naskia biashara ya maji ni kati ya biashara zinazolipa sana ndio...
Nauliza mahali naweza kupata laptop mpya. Vigezo vifuatavyo ni muhimu. Type ipi ni nzuri, toshiba, dell au nyingine kwa durability ya betri na vitu vingine. Pili, bei iwe reasonable. Tatu nipate...
Ifa International Catering Service Ltd
Ni mojawapo mwa kampuni chipukizi ndani ya jiji la Arusha ambapo imeweza kufanya kazi kubwa za kitaifa na kimataifa . Kama kampuni imeshaweza kufanya kazi...
helow wana JF.
Natafuta toyota Hiace ya kunua ila inatakiwa iwe dungu an iwe katika hali nzuri sana au ata nikipata mpya kwa bei nzuri itakua vyema. Hii picha ni mfano wa aina ya gari ninayo...
Wakuuu samahani natafuta Simu ya Kununua aina ya SAMSUNG GALAXY S3 used( ila sio mbovu) nina Laki tatu(Tshs 300,000/=). Naomba msaada wenu kama inawezekana kwa mwenye nayo au anamjua mtu aliye...
Tuko Mabibo Makutano Karibu na NIT na TGNP.
Ni hoteli ya kiwango cha kuridhisha na huduma mbalimbali kama kumbi za mikutano (Conference facilities), Summit Bar (Rooftop bar), Fine dining...
Gari aina ya toyota carina inauzwa iko mikocheni, ni manual na inatumia diesel ni nzuri sana na haina tatizo lolote
Inamilikiwa na mmama na sababu yakuuzwa ni kuwa mmiliki amenunua gari lingine...
Habari ndugu zangu,iv majuz nimeanguka na pikipiki ikaharibika vibaya mno,nimetafuta kila kona spear zake ambazo ni bumper za pembeni pamoja na show ya mbele inayoshika taa bt nimekosa,nimeenda...
Nauza sim zangu tajwa hapo juu
Samsung nauza sh.135 tu,na hyo blackberry ni 145 tu,napatikana dar,kwa anaehitaji anitafte 0654715457 mizigo bado ipo ktk hari nzuri........
Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.