Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Bei yake ni laki 3.5, ni mpya kabisa kama zinavyoonekana kwenye picha, zimebaki piece 5 call 0713532322 niko dar
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw KWA BEI YA LAKI NANE TU... kwa mawasiliano 0714-414020 0719-819227
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Price;250,000 Nipo Dar Ni-pm kama uko interested
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
New Toyota Raum , its exccelent condition,more information contact 0713959290
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Shukrani nyingi ziwafikie kwenu wadau na watumiaji wa mtandao huu pekee Tanzania. Natafuta laptop used aina ya toshiba au dell au hp. Bei yake iwe walao laki tatu kamili na isizidi laki tatu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu. Mimi kwa jina halisi naitwa Bernard Bruno Mwenda. Ninapenda kuwajulisha Watanzania wenzangu kuwa, siku ya tarehe 9/11/2013 majira ya saa 12:30 jioni, nikiwa na usafiri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wenye uzoefu wa biashara ya madini hasa aina hii.....soko likoje kwa sasa???kuna contacts za uhakika? je market price ni kiasi gani?? je mambo gani ni ya kuzingatia ????vipi kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf nina gunia 50 za mahindi, yenye ujazo wa debe 7 kwa kila gunia. >> Nauza Tsh 65,000/= kwa gunia. >> Nipo Mafinga mjini. >>> Price is negotiable CONTACT: 0769 877 495
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Anayeuza case ya 7inch tablet ambayo inainclude keyboard naomba anijulishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Bei ya kutupa viatu toka dubai, call 0712112135
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Call me on 0712868178
0 Reactions
0 Replies
547 Views
nina toshiba table t100 imearibika mkanda tu na kidude cha kuwashia,ila inawaka...lete ofa yako na kama una smart phone tunaeza badilishana.IM SERIOUS UTANI WEKA PEMBENI.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji Windscreen ya Suzuki Wagon R. Model ni ile ya milango mitatu.
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Noah iko kwa hali nzuri kabisa imetwmbea km 147500 bei M9 NEGOTIATABLE\ SIMU 0767931887 KITU IKO ARUSHA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kutokana na tatizo la umeme kukatika sasa, ulirudi kwaksi sana na kuchoma friji la kiofisi changu jana wakuu, mwenye friji dogo ya wastani isiyozidi laki na hamsini na iwe na uwezo wa kugandisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Galaxy note2 used one mouth 780 tsh complete chek me 0714767955
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta HtC disire s..mwenye nayo aweke bei...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom