Habari wana jf,natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala ,sittingroom,choo na jiko bajeti yangu ni 250000 tu.kwa anayefahamu zilipo naomba anijulishe
Habari Wanabodi.!
Nafanya Installation na Configuration ya Game ya PES2014 kwa bei nafuu sana.Game iko poa sana na ina wachezaji wapya wa timu mbalimbali Ulaya kulingana na usajili mpya.Mwenye...
Nyumba yenye vyumba viwil vya kulala (master bedroom) na chumba kingine cha kawaida, public toilet, jiko, sebule nzuri, madirisha ya alluminium, dari la gypsum, floor ya tiles, baraza zipo mbili...
Dear JF Members, am looking for a godown of about 400 or 450 sqrmeter to rent,, it should be in DAR at an accessible area...and the rent should be chargeable in TSH......If any of you guys have...
Wadau naihitaji godown lenye ukubwa wa 400 au 450 sqrmeter kwa ajili ya kupanga, liwe DAR na sehemu inayofikika kirahisi.....na malipo yawe kwa TSH. MWENYE MPANGO ANIPM<BR><BR>ASANTE
Wakuu natafuta frem ya biashara isiyozid laki moja mahali tajwa, kama kuna mtu anaweza nipa msaada zaid ya namna ya kupata hiyo frem ntashukuru sana
Mzaha si mahala pake.
Moods naombeni mwache...
Wanajamvi wenzangu, nduguyenu napata mkate kwa hii biashara ya kuagiza magari Japan/Uk na kuuza Tanzania. nina experience ya miaka mingi kwasasa nmeamua niwe nachangia jukwaa la biashara kwa...
Sherehe hazinogi bila burudani,na burudani haikamiliki bila mashairi mwananaa..kama unahitaj shairi kwa ajiri ya sherehe kama kipaimara,komunio ya kwanza,ndoa,birthday,ubatizo etc unaweza...
Habari zenu wakuu
natafuta laptop yenye specification zifuatazo
Hard disk walau 500 Gb
Ram 2
procesor 2 Ghz
webcome
kwa bei tajwa hapo juu
maongezi ya kuongeza dau yanaweza fanyika pia...
Viwanja vinauzwa eneo la bunju A.
eneo liko bunju A, Ni kama km 1 kutoka barabara ya bagamoyo.Kama unaenda na daladala unashukia Bunju CCM au Bunju Polis. Viko karibu kabisa na Chuo kubwa...
Habari za leo wakuu.
Nyumba ya bedroom mbili au tatu inayojitegemea inahitajika kwa kupangisha arusha mjini.
Niko open to negotiation lakini haswa nahitaji katika viwango nilivyo vitaja.
Mwenye...
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa
aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw
KWA BEI YA LAKI NANE TU...
kwa mawasiliano
0714-414020
0719-819227
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.