kiwanja kinauzwa chamanzi mbande karibu kabisa na azam complex.kiwanja kipo mahali pazuri mita chache kutoka bara bara ya lami kuna bara bara za mitaa hadi kiwanjani.umeme maji vipo ,ni sehemu...
Viwanja vinauzwa vipo chanika new kibawa kama mita 500m toka barabara ya rami ,kimepimwa na hati miliki hipo kina sqm 800, na cha pili kipo pugu mbuyuni kimepimwa na hati zote zipo kina sqm 500 ...
Nauza kiwanja eneo la Mwembemdogo, kiwanja hakijapimwa ukubwa ni miguu 30 kwa 30, viko nane. Ni kilometa 23 kutoka Feri Kigamboni. kwa mawasiliano nitumie ujumbe wa ndani nikupe namba ya simu.
KWA WANAOTAKA MAYAI YA KYENYEJI NA ASALI
BEI LITA 1 ASALI-9000/=
TREI MOJA MAYAI YA KYENYEJI-15,000/=
TUMA EMAIL KWENDA giningiasilia@gmail.com au simu 0716 193 453
Hi wana-JF
Nahitaji gari, Toyota Vitz yenye specifications zifuatazo:
5 doors
Automatic Transmission
Less than 80,000km
Should be in mint condition
Color: Silver or Black
Offer: TZS...
Nauza laptop hp dv6, used for a month. Haina scratch ina ram gb 6, ina hdd 500 gb, graphic card ati radeoon 3000 mb, processor yake ni 3 Ghz, bei ni lak 7.5.
km kuna m2 anahitaj htc one xl good as new +earphone + usb cable and charger. Specs.... 1gb ram, 16 gb memory, crystal clear graphics, beats audio technology..etc. for only 450k . kama interested...
Nauza simu ya samsung galaxy s4 nyeupe, ni original. Imetumika kidogo na iko kwenye hali nzuri sana, ina 32gb internal memory. Inakuja na flip cover tu. Kwa mawasiliano pm au nichek at 0717301520...
Naenda shamba kuvuna kitunguu shambani, natafuta soko huku Dar, hivyo naomba mwenye uzoefu wa soko anisaidie mwongozo.
Mwongozo wenyewe ni wapi kuna soko zuri la kitunguu, tuwasiliane tafadhali...
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
Nahitaji jengo maeneo ya Victoria na moroco au Masaki, jengo linaloweza kutumika kama makazi na ofisi kwa wakati mmoja. Dalali hahitajiki, na kama atahitajika yako mambo ya msingi kukubaliana. bei...
Nokia n9 inuzwa ya rangi ya pink (simu adimu kabisa) simu imeshatumika na ipo katika hali nzuri bila tatizo ina scratch kwenye cover kwenye pembe tu.
Brief specs
1.Ina kioo inch 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.