Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji accounting software, business software mbalimbali na Tax software hasa ya VAT Tanzania. Kwa mwenye kujua wapi nitapata na bei zake asaidie. Eg; Sun system, tally, MYOB,Quick...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Sasa Unaweza kupata gari la ndoto yako. Pata gari TOYOTA PASSO kwa kiasi cha Tshs 6.9milion tu. Hiyo ni bei ya kulipia kila kitu na kulitoa bandarini. wasiliana nasi kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta fundi mzuri wa suruali mwenye kuzingatia muda na kutunza ahadi. Awe ubora wa kazi. Asiwe mtu wa kufiwa na kuuguliwa au kuugua kwa kusingizia. Kama unamjua mwenye sifa hizi nipe contact...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanandugu,, Napenda kuwataarifu kuwa nauza kuku wa Broiler kuanzia wiki hii.. Bei yake ni kati 5300 - 6000. Unaweza kunipata kupitia namba hii ifuatayo 0754750504 au 0715750504.. Kuku ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mrejee hapo.Ninauza laptop yangu mpya kabisa kwa bei ya 640,000.Maelewano yapo.Specifications zake ni hizi hapa Ram 4gb.,Hard disk drive 750gb,processor 2.5.Ninaiuza siku chache baada...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu nina IPHONE 3G ambayo ni feki ( yani siyo original ). Ina specification zifuatazo. model ni A124. internal memory ni 32 GB. Ina itune. Internet ni 4G ina viber ina camera nzuri...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Viwanja vinauzwa eneo la Mbande Tambani - Kongowe Dar es Salaam. Vina ukubwa wa futi 50 x 70, viko viwanja sita (6) ambavyo unaweza kununua kimoja kimoja kadiri ya mahitaji yako. Bei ni shilingi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu marafiki Natafuta tender za kutengeneza Kadi za Harusi kama vile: Mwalikko kadi, sendoff kadi, kitchen party, kipaimara kumunio, kadi za Seasonal na pia natengeneza keki kwa shughuli...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
htc one x inauzwa kwa bei ya 530,000 nicheki kwa 0717 022737 simu imetumika kwa wiki 2
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maker: Toyota will vs model: 2002 transmission : Automatic engine: 1nz engine capacity: 1790 cc gas: Petrol seats: 5 doors: 5
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji kununua quality and portable digital camera. Kwa mwenye nayo tuwasiliane. Isiwe kwenye 14 na 16MP. Pia zoom ya kutosha
0 Reactions
3 Replies
696 Views
wakuu naitaji samsung s3 ambayo sio clone...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari wakuu,yeyote mwenye flatscreen inch32 brand samsung,lg au sony wekabei tu nikupm tufanye biashara. natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za Leo Wakuu, kutokana na kukwama kwa mambo yangu mengi nimeamua kuuza bidhaa tajwa hapo juu, nna miliki Laptop na Desk Top Computers, Sifa zake ni hizi:- 1. Lap Top Model - Acer Aspire...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
huawei y 300 inahitajika haraka ofa ni tsh 200000 niko dsm
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Habari wana Jf. Nauza samsung Lcd inchi 26 kwa laki tatu na nusu. Mwenye kuhitaji anipigie 0713 978806.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu. Ninauza iPad 2 64 GB,nimeifungua na ku-update iOS(V.7) Ambaye anatakuwa interested tafadhali anitumie PM.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni used kidogo ila iko pouwa 3G..na mambo mengne kbao kwa aliye maeneo ya Arusha anaweza nichek kwa namba 0714233520 Bei 160000 Tsh
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Back
Top Bottom