hello,
wadau ninauza gari yenye sifa zifuatazo
make: Toyota
model: Townace Noah
model no: E-SR40G
color: pearl white
Yom: 1998
engine no: 3S5015915
Mileage:108750
road licence paid up to: august...
Habari zenu wanajamvi na watanzania wote.
Kuna magari mengi yamefika bandarini Dar Es Salaam.
Ebu angalia baadhi ya magari yaliyopo bandarini kwa sasa. angalia link hii...
Nauza shamba la ekari 5 karibu na mbuga ya wanyama ya mikumi, milioni 5 kwa ekari, linafaa kwa ujenzi wa campsite, lodge au hotel. Piga 0769142586 kwa maelezo zaidi.
habari wadau, nilikua nashida na kifaa tajwa hapo juu..kama kuna mtu anacho au anamfahamu mwenye nacho ambaye kakiweka kama junk property..anaweza kuntafuta through 0712 507060 tufanye business
Nyumba nzuri ya Kisasa, imezungushiwa ukuta, parking ya magari mawili, pamoja na kibanda cha mlinzi. Ipo Mikocheni Block C. Eneo lote ni Sqm 258. Hati zote zipo kwa ajili ya uhakiki. Kwa...
Viwanja viwili vinauzwa eneo la Kimbiji/kijaka (low density). Eneo linafikika kirahisi lipo karibu na barabara kubwa. Viwanja vyote vina offer halali. Kimoja kina ukubwa wa sqm 1,440 na kingine...
WANAJF,
Kwa wale wanaopenda kuwa na mbwa kwa ajili ya ulinzi na mambo mengine naomba tuwasiliane. Ninao mbwa wawili wadogo ambao wanaweza kunywa maziwa na hata kula sasa.Wako wawili tu, jike na...
habari wakuu,
nauza nokia 1280
used for 2months ..
ina box ake na charger
battery stays with charge for 3 days ukiwa unaitumia..5 days standby
CONTACT 0712 507060
Habari zenu. Mimi na marafiki zetu tunatengeneza diesel kutokana na mimea na mbegu za jatropha na mimea mingine. Mpaka sasa TBS washachukua samples na kwenda kuzipima.Tuna uwezo wa kutengeneza...
Mwana-JF,
Kuna chumba cha ofisi cha ukubwa wa mita za mraba 13 kinapangishwa kwa Tshs. 142,000/- tu kwa mwezi. Ofisi iko eneo la Sinza karibu na Mlimani City.
Ofisi hii inafaa kwa mtu mwenye...
Wanajukwaa smartphone aina ya BlackBerry 9900 yenye specification zifuatazo:
5MP camera,
768MB of RAM na
8GB build-in memory.
BlackBerry OS 7 and NFC support.
inauzwa kwa bei ya Tsh...
Nina shida na modem ambayo iko unlocked ambayo naweza kutumia any simcard kwa aliye nayo au maelekezo ya sehemu ninapoweza kuipata
Mimi niko Dar es salaam
Asanteni.
HABARI ZENU WANA JF.POLENI NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE,KWA HESHIMA NA TAADHIMA KWA WALE MASINGLE MEN AND MASINGLE LADIES WHO ARE AVAILABLE AND THEY ARE SEARCHING THE REALY PARTNERS JUST CLICK THIS...
Wakuu,
Kuna Shamba linauzwa Kibaha, Picha ya Ndege.
Shamba lina ukubwa wa hekari 5 na linauzwa kila heka Tshs 3Million.
Kwa atakaelichukua lote maongezi yapo.
Shamba lipo Upande wa Kulia, 2km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.