Habari wadau? Natafuta mahali DAR ES SALAAM wanapouza vimashine vidogo vya kufunga seal (BAG NECK SEALER) ntakachotumia kufunga mikate yangu Kama inavyoonekana kwenye picha, natanguliza shukrani...
Wakuu naomba mrejee kwenye kichwa cha uzi.Nina laptop nataka niitume Songea,naomba mwenye kujua watu wanaofanya hii kazi na ikiwezekana na gharama zao.Nipo dar
Printing and Packaging in Tanzania kwa kifupi ni aghali sana tumeona mfano mwingi wa watu wengi wamekuwa wanakwenda kufanya kazi zao nje ya nchi
Kwa sasa tunakuletea hii huduma hadi mlangoni...
HOUSE Wtd 4-6 bdrm , can pay up to Tshs 2mil per month , Mikocheni, kijitonyama and Survey/Mlimani City considered, the House is for office usage, please call or text 0755312233
TWO Bedroom...
kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka
azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote
muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa
futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri
kwa...
Nauza Toyota Mark 2 GX 100 bei ni milioni tatu na nusu tu (3.5) iko safi na haina tatizo lolote njoo na fundi wako unaemwamini aje aikague. Bei ni fixed
0784 234224 for more informations.
Gari
aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali
nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu
17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.