Kiwanja kinauzwa Mpiji Kibini, nje kidogo ya jiji la Dar es slaam
Kinatoa vipande vya 20*20 vipande 16 na kila kipande ni Tsh 1.5M tu. Kwa anayetaka awasiliane na namba hii 0768190339
Nilikaa jijini London miaka ya 1994 na 1995, nilikuwa naishi mtaa wa Weedington Rd NW London. Nilishangazwa kwenye mitaa ya London na jinsi magodoro yakichafuka kidogo tu yanatupwa au kuuzwa kwa...
Wana-JF,
Mimi niko Dar,
Natafuta fencing wire na nguzo za chuma kwa ajili ya kutengeneza fensi.
Wana-JF, naomba mnielekeze wapi nitapata mahitaji haya...
Naweka picha za mahitaji yangu.
Barbed...
kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka
azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote
muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa
futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri
kwa...
Hili ni jiko la kutumia gesi ambalo unaweza kuchomea nyama za burger, chapati, nyama steak na kadhalika.. Limetumika kwa miezi sita. Bei ya hili jiko likiwa jipya ni shillingi milion mbili na nusu...
Kama una kazi yoyote inayohusiana na graphics designing, kama ni image ya kawaida, logo, business card, flier, poster, album cover etc. unanitumia material na maelezo ya jinsi unavyotakiwa iwe...
Nauza cm za Huawei Ascend Y300, ninazo pc 2, wahi ujipatie kwa bei nafuu. Zote ni mpya, unlocked kwa line zote, zina screen protector, flip cover za leather, 4GB memory card, USB cable, charger...
kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka
azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote
muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa
futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri
kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.