Jaman msaada, nina kaduka kangu ila naweka nguo za mtumba grade " A" nahitaj kupata mabaro ya aina zifuatazo za nguo.
1. Gaun ndefu na fupi,
2.sket fupi na ndefu
3. Skafu
4.mitandio
5...
Shamba lenye ukubwa wa hekari 14 lililopo Mngazi, Kisaki huko Matombo, Morogoro linauzwa kwa bei ya shilingi milioni 2. Kwa anayehitaji awasiliane namei kwa namba hii 0757361266
Ninauza Play Station2 mpya (pichani) kwa tsh. 180,000 tu, ni Sony, ina pad 1, kwa anayehitaji apige namba hii 0757361266, mzigo uko Dar es Salaam
Asante sana!
Wana JF.
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada ni wapi ninaweza kupata mashine za kuchapisha lebo za mifuko ya kufungashia chakula kama vile unga, mchele, maharage na kadhalika (Food packing bags...
Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kijichi dsm ya bei kati ya tsh milioni 100 mpaka 150.
Iwe na eneo kubwa, na ni ya kisasa ambayo imekamirika siyo ya kuikarabati tena.
Mwenye anayo apige...
There are people looking for a house or apartment to buy which can be converted into office premises. Preferably the areas of Kijitonyama, msasani, mikocheni, Kawe, mwenge or sinza. Their budget...
nashukuru kwa wote mliotoa ushauri kuhusu engine gani ya kununua ktk premio yangu,naombeni nifikishe kwenu ili swala,,,jmosi naenda kununua engine na niliamua kuchukua jukumu la kwenda kuchukua...
swag tablet ni aina ya tablet zenye uimara wa hali ya juu(world first class tablet)
specifications
7 inch 5 touch capacity touch
The memory is 512MB RAM
It has a 4gb on-board storage ...
Nakaribishwa wenye makampuni au ofisi binafsi au shule au hotel wanaotaka kukodisha kwa mkataba toyota noah ambayo ina week moja tu tangu iingie kutoka japan kwa matumizi mbali mbali.
Rangi...
Ndg Wana Jf nina wateja sita wanaohitaji nyumba ndogo za kupanga haraka, chumba kimoja na sebure au vyumba viwili na sebure self-contained. Zisiwe mbali sana na Dar city centre, ziwe maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.