Isiwe mbali sana au karibu na city centre mf maeneo ya kijitonyama au mwenge, na isiwe mbali na barabara kubwa. Iwe na vyumba vine vya kulala, sebure, dining na jiko. Ikiwa na AC pamoja na...
Wadau JF. Naombeni kufahamu hasa kwa wale ambao walishajenga nyumba zao. Je ni lazima kupata kibali wizara ya ardhi kabla ya kua.za kujenga nyumba ndogo eg.family house? Kama ni ndiyo je ni maeneo...
Swalama wakuu
Kuna Samsung Galaxy tablet 2 ninauza kwa 430,000/=. Kwa yoyote atakae kua tayari tuwasiliane kwa 0762193767.(sms/call)
Mazungumzo yanakaribishwa.
Ina specs zilezile kama tablet ya...
Natafuta nyumba ya kupanga, vyumba 2, jiko, sebule, choo/bafu ndani ( self contained two bedrooms house) hapa Dar es salaam. Maeneo nipendayo ni Mikocheni, Kawe, Mbezi ya Tangi bovu, na Tegeta...
Double J ushering services inatoa huduma ya wahudumu wazoefu na sanifu kwenye shughuli mbalimbali. Wahudumu hao wataifanya shughuli yako iwe nzuri na ya kuvutia kwa wageni waalikwa. Shughuli hizo...
Habari wana JF
Samsung Galaxy S2 na S3 originals zinauzwa kwa bei poa.
s2 ni kwa 420,000/= na
s3 ni kwa 615,000/=
Zote ni full boxed.
Kwa serious buyers only, piga 0714-034174.
Habari wadau,
Nakuja kwa mara nyingine, mara nyingi nilikuwa naangalia haya malori ya kusafirisha bidhaa mikoani na nje ya nchi. Kwa mwenye ufahamu wa hii biashara naomba mnielekeze mtaji...
Mtambo wa kutafiti madini ya gesi, mafuta na madini mengine mfano almasi, dhahabu, makaa, na vito vingine ndani ya ardhini kwa umbali wa zaidi ya 1500km chini ya ardhi unauzwa ukiwa katika hali...
leo nimetembelea mlimani city Kwenye punguzo la cm pale wanauza simu bei kubwa sana tofauti na kule ndani. simu inayouzwa Kwenye punguzo 37000 basi Kwenye maduka mengine ni 32000 Nokia ya tochi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.