Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nataka kuchange fedha za kigeni(euro) mida hii niende wapi? Nipo dar posta hapa Kidogo tu za kumalizia wikiend
0 Reactions
7 Replies
1K Views
14 hectares of land located near ifakara health institute at bagamoyo (dar es salaam/ tanzania) price: Tsh-650million (negotiable) contact below number for more information kwa swali lolote...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
MAFUNDI UMEME WA MAJUMBANI NA OFISINI WANAFANYA WIRING NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA UMEME KAMA: HEATERS RICE COOKER JIKO FENI PASI,n.k Wanapatikana Nyegezi,Mwanza: 0756917972 KARIBUNI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF! Mzigo mpyaaaaaaaa Samsung Galaxy S4 iko sokoni! Check Picha hapo kwa reference zaidi! Bei: Tshs. 600,000/- Haina udalali hiyo! Contact: 0776443644
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAHALI: Mbezi kibanda cha mkaa Upande wa kanisa. VYUMBA: Viwili (Double room). KODI: 40,000/= kwa mwezi. Pamelipiwa mpaka 31-january 2014. VILIVYOMO: 1. Kitanda 5 x 6...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajf, Ni wazi kwamba vijana wetu walio Chuo Kikuu na Taasisi nyingine za Utafiti tunakabiliwa na uhaba mkubwa wa vitabu vya taaluma mbalimbali(Uchumi, Uhasibu, Siasa, biashara, Globalization...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
VOLKSWAGEN GOLF 2005, SILVER KM 75000, bei 11m NAMBA CKC, IMEINGIA MWEZI WA TANO PICHA ZINAPATIKA nione kwa 0717529015
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Iwe hp 4gb ram Internal hhd iwe kat ya 500-750 gb I core 3 processor Speed range kwanzia 2.2ghz na kuendelea
0 Reactions
1 Replies
659 Views
kiwanja kipo kigamboni gomvu sq 800 kina hati kwa 12m nione kwa 0717459015
0 Reactions
0 Replies
644 Views
laserjet cp 1025 colour In good condition Price 340000 laserjet p1102 price 165000 contact 0759149202
0 Reactions
4 Replies
2K Views
msaada wana jf wapi naweza nunua mitungi ya gas,majiko ya gas,na vifaa vingine kwa wingi
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Anayeuza tablet 150,000 aniPM au aweke namba hapa tafadhali
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani wanajf wanaojua uzuri na udhaifu wa ipsum old model ukiacha sababu za u-old!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za hapa wan JF Naombeni msaada ili niweze kupata vifaa vya Saloon ya kiume (Barber Equipments) Mimi nipo Mwanza kama nitavipata hapahapa mwanza itakuwa fresh na pia kama nitavipata Dar es...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ninauza simu aina ya blackberry bold 9700, isiyo na tatizo la aina yoyote kwa bei ya shilingi laki 2 (200,000). Nipo dar, na mawasiliano yangu ni 0786 305664, karibuni.
0 Reactions
1 Replies
840 Views
hp elitebook 6930p hhd-235gb ram-2gb processor-2.40ghz price: 430,000/= hp elitebook 6930p hhd-160gb ram-2gb processor-2.40ghz price:390,000/= contacts: 0779142033
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni orijino kabisa na ipo katika hali nzuri. Ni PM namba yako tufanye biashara. Bei 2300000 tu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa kama kuna yeyote anayeuza M/Benz 102, 111, 202 au 203 ani PM budget yangu ni TSH 5M. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
671 Views
known as Samsung Galaxy Txt GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 SIM Mini-SIM Announced 2011, August Status Available. Released 2011, November BODY...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Habari zenu nduguzangu,! Tunatengeneza na kurepair sofa aina zote pia tunauza sofa za kisasa kabisa kwa bei ya kiu-dugu (rahisi). We are available at sinza kwa remmy, you are most coolly welcome...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom