Smartphones for sale
Galaxy s2 black mint condition tsh 350,000
Galaxy s2 HD LTE, white colour 4.65 inch, excellent condition tsh 400,000
Sony xperia z black colour, mint condition, tsh 720,000...
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo
mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara
ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa
uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa.
Huduma...
Wanajamvi wenzangu, nduguyenu napata mkate kwa hii biashara ya kuagiza magari Japan/Uk na kuuza Tanzania. nina experience ya miaka mingi kwasasa nmeamua niwe nachangia jukwaa la biashara kwa...
Jamaa wamekuja na hiyo kitu wakisema watauza simu za Samsung, Huawei,Tecno na Nokia kwa punguzo kubwa la hadi 80% pale Mlimani city Nov 2 na 3.
Naomba atakaeshuhudia au mwenye taarifa zaidi atupe...
je unajua kwamba unaweza kutengeneza mshiko kimtindo? yaani wewe pamoja na rafiki zako, rafiki zako na rafiki zao.... na kuendelea mnaweza kutengeneza kipato kizuri bila kutegemea. bonyeza hapa...
Tafadhali naomba mnisaidie wana jf.Natafuta kazi/kibarua au kazi yoyote naweza fanya.nina ujuzi wa computer na elimu yangu imeishia advance certificate.mimi ni muaminifu na mchapa kazi.sichagui...
Imetumika kama wiki2 tu mpaka box unapata
Ina screen protector na back cover
Kamera mbili nyuma na mbele+ledflash right na fm radio
Skype,watsapp,instergram,fbook,jamii forum,tweeter,yahoo,gmail...
Wanajf kwa wale watumiaji wa Samsung Galax S 2 Kuna bank charger zinauzwa from dubai ambapo ukitiumia hiyo bank charger itasaidia kurecharge betry yako soon inapoisha charge ,,,bank charger ipo...
Nipo Kigamboni, pesa hiyo nimejumuisha na usafirishaji mpaka hapa nilipo, friji liwe dogo kabisa na used(sio used bovu).
Nikiridhika nalo nakulipa pesa cash huwa sina ubabaishaji.
Kama unalo njoo...
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani
Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka...
Habarini,
jamani najua kwenye jukwaa kuna
watu wenye fani mbali mbali humu
ndani. Mimi nina wazo la kufungua
Duka la Dawa mkoani Singida.
Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA
kufungua duka...
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo
mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara
ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa
uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa.
Huduma...
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani
Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka...
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa. Huduma zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.