Habarini
nauza kuku wa kisasa Broiler
kwa jumla ni tshs 4500/- mpaka 4800/= kwa kuku 100
na ni kwa rejareja ni 5500= kwa kuku umtakaye
kwa anayehitaji aniPM nami nitawasiliana naye niko dar...
Habari,
Ninauza simu, blackberry bold 9700, nyeusi kwa shilingi za kitanzania laki mbili (200,000). Ninapatikana dar.
Mawasiliano 0786-305664. Karibuni.
Habari wanajamvi;
Guys naomba mnisaidie wapi ninaweza kununua
STICKERS kwa ajili ya kubandika nyuma ya screen
ya laptop yangu. Naombeni msaada wandugu!
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Wana-JF,
Natafuta pumps ndogo za maji zinazotumia umeme wa DC.
Nataka kutumia pump hizo kwenye systems za aquaponics kwenye miradi ya ufugaji samaki na kilimo cha mboga.
Naomba anayefahamu wapi...
habari wakuuu naomba mwenye laptop aniuzie kwa bei ya laki 4. Nahitaji brand zifuatazo dell,hp,compaq,hp au toshiba. Iwe na sifa hizi processor walau 1.8 ghz dual core or higher, 2gb ram or...
tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na...
Naitwa Kevin nipo Dar. Nauza Samsung Galaxy star GT S5282. IPO kwenye halo nzuri nmeinunua kama mwezi tu umepita. Ina kila kit name box lake bei: 160,000/= Tshs maelewano yapo. Kwa walio serious...
Nimechoka na upuuzi ninaofanyiwa na mama mwenye nyumba. Mimi ni mwanaume, sijaoa. Nahitaji vyumba viwili, chumba na sebule. Ikipatikana self contained itakuwa bora zaidi. Yaani hapa umeme...
Mwenye Utalaam na Ujuzi wa kutosha wa ku-design cover za vitabu na pia kufanya editing ya kitabu na kukiandaa tayari kwa printing tuwasiliane. Ani-pm na kunipa namba yake ya simu ili tuwasiliane...
Hello great thinkers,
Ninatafuta gari hyo, mwaka wowote ule but iwe katika hali nzuri. Budget yangu ni 18M-20M. Picha ni muhimu.
Mwenye nayo/mwenye taarifa za wapi ipo ani-pm. Natanguliza...
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.