WanaJF habari zenu,
Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.
Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi...
Habari waheshimiwa
Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429
Ninauza laptop yenye sifa zifwatazo,
Dell latitude d620,
2.2ghz dual core processor,
2gb RAM,
80GB Hardisk.
Bei 320k, laki 3 na 20
Contacts, 0786 305664
HABARI ZENU WADAU..
Nyumba imara inauzwa ipo eneo la Mbagala Charambe, Ina vyumba vitatu, choo cha ndani ki1 na bafu 1, master ina store ndogo na choo chake, ina jiko la ndani na store store...
Hii ni pressure washer, mashine ambayo inavuta maji kutoka mahali Fulani na kuya compress kwa pressure unaoyotaka kulingana na matumizi yako. Inatumia petrol, ina mshikio (handle) yenye urefu wa...
Wakuu Habari,
Kwa wale ambao wanataka kutangaza mitandaoni kwenye website yenye traffic ya hits 50000 per day plus Facebook page yenye likes 100,000
Kwa kutangaza Bidhaa zako niPM
samahani wana JF simu gani Android nzuri kwa price ya 200,000- 300,000.
Good Ram, large Internal memory
quality Camera, Good in Browsing with 3G.
Touch screen,,
any one with idea and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.